Rais
wa Marekani Barack Obama akipiga danadana za kichwa alipokuwa katika
mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo jijini Dar es Salaam
Tanzania.”Messi mwenyewe haniwezi'Akipiga danadanaHebu Nipasie na mimi uone - Kikwete akisubiri kupasiwa mpira na Obama