Search in This Blog

MR BLUE ATOROKA HOTELINI KISA DENI LA SH 40,000

 
Kupitia Kipindi cha Redio cha clouds fm U heard ya jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger