Wengi wanalalama kuwa cm zao hazina whatsapp au wanashanga vipi mie
napatikana kwenye hiyo mambo wakati na cm yangu ni ya Tochi tu.
Hebu cheki maelekezo hapo chini ukimaliza kumbuka kuni Add na mimi ili tutumiane ma picha na mambo mengine….
Download
App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac
with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na
Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp
Instagram, viber, tango, na nyingineee tu.
ila Hyo App Ni ina Mb 8
tu ila inahtaji Specs kubwaaa kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic
accelerator lazma ziwe Updated… So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix
Hzo kwanzaaa
Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install
go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa
android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na
bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo
picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.
Kumbuka,
youwave ni yakulipia (Ingawa unaweza kuichakachuwa) ila bluestack ni ya
bure, isipokuwa ina ishu za ram, vga drivers etc ndo maana siipendi.