SINTAH AJA JUU KUHUSU BLOGGERS KUTUMIA PICHA ZA ZAMANI ZA NUSU UCHI ZA AUNTY EZEKIEL
"Waandishi wa habari jamani fanyeni staha mnajua huyu ni muke ya mutu
kwanini mnatumia pics zake za zamani?? kwani hana pics mpya?? maana hii
ni nzito kwa mume hebu tofautisheni alivyokuwa aunt na sasa ni muke
jamani kuweni na utu, maana kucha kutwa bloggers wanatumia hii pic leo
nimeamua kusema ukweli, yaani mnanikera sana na hii pic" Says Sintah