Search in This Blog

SUAREZ AWAMBIA LIVERPOOL KWAMBA YUPO TAYARI KUJIUNGA NA ARENAL.

Luis Suarez anatarajiwa wakati wowote kuwasilisha barua yake ya kuomba uhamisho kutoka time ya liverpool na kuhamia timu ya Arsenal.
Mshambuliaji huyo wa Anfield amesema sasa yupo tayari kuihama timu yake ya liverpool na wakati wowote sasa atawasilisha barua yake ya uhamisho.
Wakati huo huo Liverpool wamesisitiza kwamba hawatomuuza mcheza wao huo kwa bei waliyotowa Arsenal ya paundi million 40.

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger