
Kikubwa zaidi mtoto huyo alizaliwa kwa njia ya kawaida. Mama wa mtoto huyo anaendelea vizuri.
Hata hivyo Jasleen, si mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi mwaka huu. Mtoto wa Uingereza George King, aliyezaliwa March alikuwa na uzito wa kilo saba na alizaliwa kwa njia ya kawaida.