Search in This Blog

MKUU WA WILAYA YA URAMBO BI. ANNA MAGOHA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Urambo Marehemu Bi.Anna Magoha enzi za uhai wake akiwajibika kazini 
Serikali ya rais Jakaya Kikwete imepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Urambo Bi. Anna Magoha kufariki dunia  akiwa Chang'ombe jijini Dar kufuatia maradhi yaliyokuwa yakimsibu.
Mkuu huyo wa wilaya Bi. Anna Magoha amefariki jioni ya leo akiwa njiani kukimbiza Hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Marehemu Anna Magoha ambaye alishawahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya na Rais Jakaya Kikwete mnamo mwaka 2006.


 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger