Search in This Blog

MUONE DK. SLAA AKIHOJIWA NCHINI MAREKANI

Blog yako uipendayo ya Mdadisi Mambo inakuletea mahojiano  kati ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa na Jamii Production yaliyofanyika Septemba 22, 2013 Washington D.C, Marekani. katika sehemu ya kwanza na ya pili ya mahojiano 
Katika video hizi, mengi yamezungumziwa, kati yao yakiwa:
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"
5: Kwa nini CHADEMA inahusishwa na vurugu katika mikutano yake?
6: Kwa nini hawajatoa mkanda wa mauaji ya Arusha waliosema wanao?
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger