Search in This Blog

BASI LATEKWA, NA ABIRIA WOTE KUPORWA

Basi la Taqwa likiwa na abiria 51 likitokea Bujumbura kuelekea DSM usiku wa kuamkia leo limetekwa na majambazi eneo la Mirade kata ya Igguguno Mkoani Singida.

Abiria wamejeruhiwa kwa kupigwa huku pia wakiporwa vitu mbalimbali. 

Tutazidi kuwajuza zaidi kwa jinsi tutakavyopata habari za tukio hilo

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger