Search in This Blog

PESA ZA MAFISADI USWIZI ZITTO KABWE AGONGA MWAMBA


Kilicho kua matumaini kwa Watanzania chawa giza totoro. Hii ni kutokana na jibu la Mh. Zitto Kabwe toka Geneva alikokwenda kufuatilia Mabilioni yaliyofichwa huko. Imeonekana kagonga mwamba tena wa jabali. Soma jibu alilowajibu Watanzania katika post yake fecebook.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger