Search in This Blog

SILAHA ZA JADI NA CD ZINAZODAIWA KUELEKEZA NAMNA YA KUFANYA MAFUNZO YA KIJESHI KWA MAKUNDI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA NI HIZI HAPA, NI ZILE ZILIZOKAMATWA MKOANI MTWARA NA JESHI LA POLISI.

3

1 
Hizi ni moja ya CD zilizokamatwa na askari wa jeshi la polisi Mtwara ikiwemo na kuwakamata vijana 11 ambao wanadaiwa walikua wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye CD za magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al Qaeda.

Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.
2

4


5 
 
6

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger