“Mtu akitaka kukorofishana na mimi anishauri kuacha pombe, siwezi na nitakunywa hadi siku naingia kaburini. Pombe inanifariji, inaondoa hamu ya mapenzi,” alisema Koleta.
"SITAACHA POMBE HADI NITAKAPOKUFA".....KOLETA
STAA wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibua maswali
midomoni mwa watu kwa kusema kwenye maisha yake hafikirii kuacha kunywa
pombe hadi atakapoingia kaburini.
Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akizungumza na paparazi wetu Jumatatu iliyopita, Koleta alisema pombe
imekuwa tulizo kamili la moyo wake uliojaa majeraha ya mapenzi na
kwamba humuondoa katika hamu ya tendo la ndoa.