Search in This Blog

WANAJESHI WA KENYA WALIHUSIKA KATIKA WIZI WA VITU KATIKA TUKIO LA UGAIDI NCHINI KENYA


Wote tunajua baada ya kutokea shambulizi la kigaidi nchini Kenya, wanajeshi wa nchi hiyo almaarufu kama KDF ndo walichukua kazi ya kupambana na magaidi hao. Sasa kuna shutuma zilitolewa kua wanajeshi hao waliiba vitu mbalimbali katika baadhi ya maduka yaliyokua ndai ya Westgate Mall lakini zilipingwa vikali na uongozi wa jeshi.





J
Jana ilikua siiku mbaya kwa viongozi wa jeshi baada ya video ya ushahidi wa kuonyesha jinsi KDF walivyohusika na wizi waa baadhi ya bidhaa katika maduka mbalimbali mfano mzuri ni Nakumati. Baada ya wananchi wa Kenya kuona video hiyo baadhi yao walifunguka katika mtandao wa twitter kuhusu wizi huo na kuwashutumu wanajeshi wa KDF kua ni wezi.




Unaweza soma baadhi ya tweets hizo hapa chini

KDF should stop fooling Kenyans. The first step to solving a problem is accepting it.Punish the culprits. - ‏@kipmurkomen 

KDF admitting LOOTing water from Nakumatt to quench thirst. Did they loot watches to tell time or phones to receive calls? - @RobertAlai 

Is @kdfinfo so broke they had to loot water? Dont we fund them? Why would KDF chief want to insult Kenyans' intelligence? C-in-C - @mugumomunene 

Kenya Dasani Forces...Protects our water against terrorists.. ;) #KDF - @Allan_Maseghe 

#KDF didn't loot, they were simply saving their colleagues: Captain Morgan and Lt. Johnie Walker - @BobChangamu 

GOK must invest in Olivia Pope. .. that one can say KDF guys were carrying water is unbelievably naive. ... - ‏@nzisai 
KDF did not loot,they wanted to pay but there was no cashier. - @faith_kerry 

#FromNowOn KDF has permission to carry water in white paper bags. Especially if that water is from Nakumatt, and packed in cellphone boxes - @karitz 

Ati those white papers KDF looters carried contained water? ROTFLMFAO! - @tanierii 
Ati KDF took water to diLOOT the juice they had carried from the barracks #hearsay - @Adigashodeh 

Don't blame the KDF, its a Kenyan thing to steal. Kama ingekuwa ni wewe na umeona izo maburungo zimezubaa kwa maduka, si ungejipanga? - ‏@EtaboE 

KDF we always feel proud of you, but this tme lound, you have lowered your dignity, how, can you say you were carrieing water wth pper bags, - @neemasam8 

Kenyans are very intelligent people please CDF Karangi when KDF carry water to quench their thirst Kenyans know when they loot we also know - @rumuruti 

Kdf thnk that kenyans are stupid instead f helping they steal. - @wilsonnjoroge99 

Hahaaaa ati kdf had carried water in those paperbags..lol..c ukitaka maji unabeba tu chupa kwa mkono c lazma mweke kwa paperbag nyi wote..! - @MercyLynda 

Ati kdf goons picked water? Tanye sana. We look how old again? Theche gi. - @AthmansQy 
How could I miss the part that #KDF were carrying mineral water?I guess our forefathers are laughing in their death beds. - @ANONYMIZE_KE 

Couldnt KDF get water outside, i thot i saw kenyans providing tea and snacks, was water that essential to send a batalion to get - @brayanimbayi 

KDF should just stop commenting on this Nakumatt issue, you are making the situation worse, Kenyans are not all 9 years olds, Jeez. - @lotukoi 

KDF sloogan:aLOOTA continuea! - @Kellymnaty -
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger