CAMEROON YAFUZU KOMBE LA DUNIA 2014
Alex Song wa Cameroon (kushoto) akiwa kazini.Wafungaji: Cameroon; Pierre Achille Webo (Dk 4), B. Moukandjo (Dk 30), Jean II Makoun (Dk 66 na 86).
Misri: Ahmed Akaichi (Dk 51).
Alex Song wa Cameroon (kushoto) akiwa kazini.