DJ ARO WA RUNGU
kulia akiwa na dada ambaye hatukuweza kumtambua jina lake kwa sasa,
Picha hii ni enzi hizo akitangaza katangaza katika kituo cha radio Times
fm yani miaka mingi iliyopita...! Ama kweli binadamu tunatoka mbali..
Ukiambiwa eti
huyu ndio DJ ARO huyu aliyejinyakulia Tuzo ya utangazaji bora Tanzania?! Ha ha haaaaaaa...! Chekeni wenyewe mi staki bana.
DJ ARO WA RUNGU KWA
SASA YUKO HIVI.
Du! hadi kitambi?! Alafu sasa DJ ARO WA RUNGU A.k.a BABA MZAZI anamiliki website kubwa maarufu ndani na nje ya nchi...! Sitaki kusema mengi mimi huwa napenda vitendo!!! Hebu bofya hapa http://www.babamzazi.com/
Mcheki alivyotokelezea ndani Studio za TBC FM
Na huu ndio usafiri wa DJ Aro Wa Rungu