Katika
hali isiyo ya kawaida Majeshi ya ugaidi huko Nigeria yaliweza kuvamia
kijiji na kusabisha mauaji makubwa, kati ya tukio ambalo linasikitisha
ni pale ambapo walimkamata mama mmoja na kumbaka na kisha kumchoma moto
yeye pamoja na mtoto wake mdogo mwenye umri wa miezi mi nne tu.