ATUMIA RISASI KUWAUWA WTU WAWILI NA MWISHOA JIUA NA MWENYEWE JIJINI DAR
Mtu
mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake amewaua watu wawili kwa
kuwapiga risasi ndani ya gari na kujeruhi mmoja kisha naye akajiua kwa
risasi asubuhi hii jirani na Baa ya Wazee iliyopo Ilala, jijini Dar es
Salaam! Endelea kutembelea Mdadisi Mambo blog kwa taarifa zaidi