Search in This Blog

MDOGO WA VANESSA MDEE AVURUGA PENZI LA KAJALA NA PETIT MAN

Habari ni kuwa penzi la muigizaji wa filamu Swahiliwood Kajala Masanja na Petit Man Wakuache amabaye ni mfanyakazi wa Wema Sepetu katika kampuni ya Endless Fame Production limeota mbawa na kwasasa Petit Man anatoka na mdogo wake Vanessa Mdee.

Hata hivyo wawili hao hawakuweza kupatikana kutolea ufafanuzi wa habari hizo ila tukiwapata tutakuletea walichokisema. Wawili hao walidaiwa kuzama katika penzi mara baada ya Kajala kutoka Segerea na baadaye ikadaiwa walikuwa wapnzi hata kabla ya Kajala hajaenda Segerea.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger