Search in This Blog

NDOA ILIYO FUNGWA KWA BIBI NA BWANA HARUSI KUWA WATUPU

Josh Hughes na Shelley Davie wakifunga pingu za maisha uchi.
Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari.
****
Baadhi ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na kuamua kufunga pingu za maisha wakiwa uchi wa mnyama. Bi harusi Shelley Davie na Bwana harusi Josh Hughes wa Melbourne, Australia wao walitoa kali zaidi pale walipooana wakiwa uchi kabisa.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger