Search in This Blog

WAZIRI MKUU ATIMULIWA BUNGENI KISA KUSHITAKIWA KWA MAKOSA YA KODI.


I give because I love.BUNGE la Italia limemtimua Silvio Berlusconi aliyehudumu kwa mihula mitatu kama Waziri Mkuu lakini tajiri huyo ameapa kuendelea na siasa.
Seneti ilipiga kura wiki hii kumuondoa katika bunge kwa sababu ya kushitakiwa kwa makosa ya kodi.

Berlusconi alihutubia wafuasi wake Jumatano nje ya nyumba yake Romani Palazzo akiwaambia kuwa ni siku ya kuhuzunikia demokrasia  lakini akawasihi kuendelea kuitetea demokrasia.voaswahili.com
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger