Search in This Blog

"MUDA MCHACHE UJAO MTAMJUA HONEY WANGU, ACHENU KUENEZA MANENO YENU YA UDAKU"..WASTARA

Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki.."Nachukia Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi ..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger