Search in This Blog

WASTARA AMUENZI SAJUKI NA KUAMUA KUANDIKA HIKI, SOMA ALICHOANDIKA

Mwezi ujao (January 2) aliyekuwa muigizaji wa Bongo Movie marehemu Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki atafikisha mwaka mmoja tangu afariki dunia.

Mkewe Wastara Mohamed (Wastara Sajuki) ameandika ujumbe wa kumkumbuka kipenzi chake kupitia Instagram.

“Siku week mwezi hatimae mwaka unaingia tokea ukimbie mikononi mwangu mwetu, milele nitakukmbuka daima nahisi uko sehemu nzuri unanisubiri, tal 2/1/2014 my bld anatimiza mwaka tokea atutoke katika hii dunia, nawaomba tuwe pamoja katika duwa itakayofanyika mkoani songea kokte ulipo inua mikono kumuombea juma kilowoko aka sajuki and mboni ya wastara”. Ameandika Wasrata
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger