Search in This Blog

WANANCHI WA JIJINI DAR WAUAGA MWILI WA MAREHEMU DK MGIMWA KABLA YA KUPELEKWA KWAO


Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger