Diamond
Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi
wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu ni
miongoni mwa watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa
Mwalimu Nyerere Internation Airpot.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz.