Search in This Blog

PICHA : RIHANA NA VITUKO TU, ATEMBEA NA NGUO YA KULALIA MTAANI MCHANA KWEUPE

Rihanna haendeshwi na matukio na wala hatabiriki katika mitindo ya mavazi anayochagua. Uamuzi wake mara nyingi huzua maswali na changamoto kwa wengi.
Mwimbaji huyo wa kike ameonekana mtaani akiwa anapiga misele na vazi la kulalia aka Night Dress na anaonekana akiwa anajiamini kama mtu aliyevaa suti au nguo nyingine inayompasa kuzurura nayo katikati ya jiji.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger