Search in This Blog

PICHA ZA MSIBA WA MAREHEMU BI KIDUDE HUKO ZANZIBAR

Umati wa Watu waliofika msibani.

Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi Kidude,  Zanzibar
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude


 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger