RISASI
Search in This Blog
Home
Burudani
Jamii
Siasa
Wasanii
Facebook
Twitter
ABOUT US
KITAIFA
KIMATAIFA
MICHEZO
DOWNLOADS
WASANII
SOFTWARE
AFYA
MAKALA
MAPENZI
skip to main
|
skip to sidebar
ASKARI AMPA KICHAPO MKEWE.
Hapa Rehema akiwa wodini katika Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa alipokimbizwa kwa matibabu kutokana na kipigo kikali toka kwa askari huyo
Hapa akionekana mwenye uvimbe zaidi
Hapa akionyesha majeraha ambayo aliyapata shingoni kutokana na kukabwa shingo na askari huyo
Hapa akiwa hoi kwa kipigo
Bi Rehema Shauri Madongo mkazi wa Wilolesi mjini Iringa akiwa na mtoto wake baada ya kuponea katika tundu la sindano kuuwawa kwa kipigo kutoka kwa mmewe ambaye ni askari polisi mjini Iringa kiasi cha kukimbia nyumba na kurudi kwa wazazi wake
stepen kanyala akiwa na mke wake siku ya harusi yao iliyodumu kwa miaka mitatu sasa
Bi Rehema akiwa nyumbani kwa wazazi wake baada ya kukimbia nyumba yake kutokana na kipigo kisichokwisha
Mama mzazi wa Rehema akiwa Monica Shauri
IGP Mwema
WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kujiweka karibu na Raia hata kuamua kuanzisha dawati la jinsia katika vituo vya polisi ,kwa mkoa wa Iringa baadhi ya askari wanadaiwa kupiganga na jitihada hizo za polisi kwa kushindwa kuheshimu dawati hilo na badala yake kushiriki kulivunjia heshima jeshi hilo kutokana na kufanya vitendo ambavyo ni kinyume na mkakati wa jeshi hilo katika kuanzisha dawa.ti la jinsia.
Uchunguzi wa mtandao huu wa www.matukiodaima.com na www.francisgodwin.blogspot.com umeonyesha kuwa dawati hilo kwa askari limekosa kuheshimika kutokana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ambavyo baadhi ya askari (30) wamekuwa wakifanya kwa watoto wao na wake zao.
Rehema Shauri Madongo ni mmoja kati ya mwanamke ambaye amebahatika kuolewa na askari polisi kitendo cha upelelezi ambaye anaeleza jinsi alivyotendewa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuteswa na kupigwa kikatili na pindi anapofika polisi hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kwa mtuhumiwa huyo ambaye ni askari .
" Mimi niliolewa kwa ndoa na Stephen Kanyala ambae ni askari kitengo cha upelelezi ila baada ya kuolewa ukiwa umepita mwezi mmoja tuo nilianza kushuhudia mateso ya ndoa kutokana na kipigo na mateso makali niliyokuwa nikiyapata"
Anasema kuwa kila wakati pindi anapotaka kujua jambo kutokana kwa mume wake huyo hasa pale anapoona jumbe zenye utata katika simu yake ambazo zimetoka kwa wanawake anaiowatambua vizuri amekuwa akijibiwa kwa kipigo kikali.
Rehema alisema kuwa ni rahisi kwake kuweza kuhesabia siku ambazo hajapigwa kuliko kuhesabi siku ambazo amepigwa ambazo ni nyigi zaidi .
Kwa alisema toka ameolewa kila mara amekuwa akipokea kipigo na mbaya zaidi kabla ya kupigwa amekuwa akifungwa mikono kwa pingu zinazotumika kuwafunga watuhumiwa pingu ambazo mume wake huyo amekuwa akizihifadhi ndani ya nyumba .
" Kweli inasikitisha sana kusimulia kwani kabla ya kupigwa nimekuwa nikifungwa pingu mikono kama mharifu sugu na baada ya hapo kipigo kikali kimekuwa kikinikuta ....hadi sasa nimepigwa zaidi ya mara 20 na polisi nimekwenda kuripoti mara tatu na Hospital nimelazwa mara moja ila siku nyingine nimekuwa nikiugulia nyumbani ila nyumbani kwa wazazi nimerudi mara tatu sasa"
Alisema kuwa mbali ya kupigwa na kuumizwa ila kuna mateso mengine ambayo amekuwa akiyapata kutoka kwa mwanaume huyo ni siri yake na hayapaswi kuelezwa hapa kutokana na jinsi ambavyo askari huyo anavyomtenda ukatili wa kinyama.
Hata hivyo alisema kuwa akiwa na mimba ya mwezi mmoja hali ya kipigo ilizidi zaidi na wakati mwingine alipata kumfunga shingo na kanga kwa kutaka kunyonga shingo huku akitishi kumuua .
Alisema kuwa baada ya kujifungua mtoto wa njia ya Oparesheni mwanaume huyo alimpiga kiasi cha kumjeruhi mtoto wa mwezi mmoja kwa kumpiga kofi ambalo lilielekezwa kwake na bahati mbaya likaishia kwa mtoto.
Aidha alisema kuwa kila akifika polisi kufungua kesi hakuna utekelezaji unaofanyika kutokana na polisi kulindana na kuwa suala hilo la askari polisi kulindani lilianza toka wakati kamanda wa polisi akiwa Evarist Mangala ,pia alipofika kamanda Michael Kamuhanda ambaye kwa sasa amehamishwa baada ya cheo kupanda pia amepata kufikisha malalamiko yake ila hakuna jipya ila sasa amefikisha tena suala hilo kwa kamanda mpya RPC Ramadhan Mungi ambae amedai kuwa na imani nae zaidi katika kulishughulikia suala lake
Pia alisema mbali ya kupigwa akiwa nyumbani kwake ila bado anapoamua kukimbia nyumba hiyo na kukimbilia kwa wazazi wake bado askari huyo amekuwa akimfuata na kumpa kipigo mbele ya wazazi wake .
Hivyo alisema katika kunusuru uhai wake kwa sasa ameamua kurudi kwa wazazi wake na suala la ndoa hataki tena .
Kwa upande wake Mama mzazi wa Rehema akiwa Monica Shauri alisema kuwa amechoka kuuguza binti yake kwa kipigo na kuwa kuna wakati mwanaume huyo amekuwa akitishia kumpiga hata yeye.
Hivyo alisema kwa sasa mbali ya kumtoa binti yake Hospital ila wamekuwa wakiishi ndani wamejifungia milango kuogopa askari huyo kuja kuwafanyia ukatili ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa risasi kama ambavyo amekuwa akiwatisha mara kwa mara kuwa dawa yao inachemka na ipo siku wataonja mauti.
Bi Shauri alisema mbali ya kuwa yeye ni mmoja wa wacha Mungu kwa maana na Mlokole mzuri ambae kila wakati asubuhi lazima aende kusali ila kwa sasa anaogopa kutoka asubuhi kwa kuhofia kuvamiwa na askari huyo .
Hivyo aliomba jeshi la polisi kuweza kumpa ulinzi yeye na familia yake ama kumkamata mtuhumiwa huyo ambae inadaiwa kwa sasa yupo katika mji wa Iringa ila askari wenzake wanamlinda.
Kuhusu uamuzi wa binti yake wa kuomba ndoa hiyo kuvunjwa alisema anaungana na binti yake kuikataa ndoa hiyo na kuwa kwa sasa wapo tayari kurudisha mahali yake ya Tsh 200,000 ambazo alizitoa kama mahali ili kunusuru uhai wao na uhai wa mtoto wake huyo.
Newer Post
Older Post
Home
HABARI MPYA
HABARI MOTO
MATAPELI WANAOJIFANYA NI USALAMA WA TAIFA WAKAMATWA NA POLISI JIJINI DSM
Mtuhumiwa wa Uwizi aliejitambulisha kwa jina la Juma Hamis huku akiwa na Kitambulisho cha Kazi cha Idara ya Usalama wa Taifa che...
MAPACHA WANASWA WAKISAGANA
Ama kweli dunia imekaribia kwisha. Wasichana wawili kulwa na doto,toka nitoke waishi kinyumba kiasi cha kulivuruga tunda la mti wa kati...
FUMANIZI: WANAFUNZI WA SEKONDARI WANASWA WAKIFANYA NGONO HADHARANI
WATOTO 11 kutoka familia tofauti wamekamatwa mjini Singida, wakidaiwa kufanya vitendo vya ngono kwenye nyumba moja usiku wa kuamkia ju...
MADAM AFANYA NGONO NA WANAFUNZI WAWILI NDANI YA GARI LAKE
Mwalimu mmoja wa kike mwenye miaka 35 anatuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wawili wenye umri chini ya miaka 18 nyumbani kwake...
WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA WALIOSHINDA TUZO ZA MISS MAKALIO NCHINI MAREKANI WATAZAME HAPA....!!!
UFUSKA WA MANAIKI SANGA “THE DON” WAFANYIWA FILAMU, AWASHIRIKISHA WASICHANA WOTE ALIOPIGA NAO PICHA ZA UTUPU, WAMO MASTAA WA BONGO MUVIE,
Na Sakina Shabani Katika hali ya kushtua msanii chipukizi Manaiki Sanga “The Don” aliyejipatia umaarufu mkubwa nchi...
MANAIKI APIMA UKIMWI, KISA PICHA ZAKE AKIWA NA WASICHANA TOFAUTI KUSAMBAAMTANDAONI..YAONE MAJIBU YAKE
Ama kweli acheni mungu aitwe Mungu Msanii aliyeshika ustaa namba moja Tanzania kwa skendo za picha za utupu Manaiki Sanga "...
HUYU NDIYE SUPERSTAR WA KWANZA WA KIKE NA KIUME KATIKA HISTORIA YA MIAKA 100 YA BOLLYWOOD.
India inaadhimisha miaka 100 tangu kutengenezwa kwa filamu ya kwanza huku miaka mingi ikitengeneza mastaa wengi wakubwa waliojulikana na k...
ANGALIA JISI NYAMA YA PANYA ILIVYOROSTIWA
Katka hatua hii unaona jinsi panya anavyoandalia katika hali nzuri ya usafi tayari kwa kukatwa katwa hapa muandaa...
MREMBO ( POKELLO) AKIPIGA PUNYETO BAFUNI NDANI YA BBA
Hali ni mbaya kwa dada zetu walioko ndani ya jumba la big brother baada ya washiriki wawili mfululizo kuanikwa na ...
Aina za habari
AFANDE SELE
AFYA
AJALI
AMANDA
ANTI LULU
AUNT EZEKIEL
AY
BARNABASI
BATULI
BBA
BOB JUNIOR
CCM
CHADEMA
CHEGE
CHID BENZ
CHUCHU
CUF
DAVINA
DIAMOND
DIDA
DUDE
DULLY
ELIMU
FEZA
FRANK
IZZO B
JACKIE CLIFF
JAYDEE
JB
JINI KABULA
JOH MAKINI
JOHARY
JOKATE
KAJALA
KANUMBA
KESSY
KIMATAIFA
KITAI
KITAIFA
KOLETHA
KUFURU
LAANA
LADY JAYDEE
LINAH
LUCCI
LULU
MAAJABU
MADA
MADAHA
MADEE
MAGAZETI
MAHUSIANO
MAINDA
MAJUTO
MAKALA
MAPENZI
MASIKITIKO
MASOGANGE
MATUKIO
MBASHA
MDEE
MEZ B
MICHEZO
MIKASA
MONALISA
MWANA FA
NAY WA MITEGO
NDAUKA
NISHA
NORA
P-FUNK
PENNY
PICHA
PREZZO
RAY
RAY C
SAM
SHILOLE
SIASA
SINTA
SKENDO
SNURA
TEMBA
THEA
TID
TUNDAMAN
UDAKU
UKATILI
USALITI
USHAURI
UWANJA WA WAKUBWA
UWOYA
VITUKO
WASA
WASANII
WASTARA
WEMA
WOLPER
ZAMARADI
ZAY B
ZITTO
Support :
KARIBU
TENA
MDADISI MAM
Copyright © 2011.
RISASI
- Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA
MDADISI MAMBO
Proudly powered by
Blogger