Kama ulikuwa hufahamu wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana hatimaye waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’
inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla
kushuhudia mechi hiyo ya kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly
wamemshauri ampige kibuti.
Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana
maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila mmoja anamahusiano
huko alikotoka, lakini mission iliyowapeleka BBA ‘The Chase’ ni kushinda
$300,000 inayomsubiri kinara mmoja, na ili kupenya
njia nyembamba za kuufikia ushindi kila mmoja anajitahidi kufumba macho
na kujisahaulisha kama camera ziko on ili aweze ku accomplish mission
hiyo bila kujali njia anazotumia.
Baada ya video clip
ya wapenzi wa BBA The chase Nando na Selly wakifanya mapenzi kusambaa
,baadhi ya watu wa karibu na boyfriend wa Selly wa Ghana wametoa maoni
yao juu ya kitendo hicho cha ‘aibu’.
Steven Fiawoo maarufu nchini Ghana kama Praye Tiatia ndiye boyfriend wa Selly, na ni msanii maarufu nchini humo.
Praye na Selly
Kwa mujibu wa mtandao wa News One wa Ghana, CEO wa Record lebel ya nchini humo iitwayo Bull Haus Entertainment, Bull Dog ni kati ya watu ambao wametoa maoni yao juu ya kitendo alichokifanya shemeji yao ‘Selly’, na kusema kwamba kama yeye angekuwa Praye (something that will never be) angevunja mahusiano na Selly bila kujali sababu za kufanya hivyo.
“One thing I will note is that the BBA is just a game and there is no
way I’m going to agree that my girlfriend or wife will go there and
have sex in order to bring home that money. If I do that, then it means
I’m lazy as a man and I’m unable to take care of my girlfriend or wife.
Let us not forget the Praye Tiatia is a celebrity,” Alisema Bull Dog.
Katika Interview aliyofanyiwa na mtandao huo, Bull Dog alimshauri
Praye aachane na Selly kwasababu yeye ni mtu maarufu na amemtia aibu kwa
kiasi kikubwa kwa kufanya mapenzi na Nando huku karibia Afrika nzima
ikishuhudia kupitia TV zao.
“Maybe if it was just a kiss I would have let it go but going to the
extent of having sex? Not me, I won’t allow that because the whole world
saw you giving it out willingly.” Aliongeza Bull Dog.
Kwa mujibu wa Ghana Web Mama mzazi wa Selly aitwaye Benedicta Galley
amemtetea binti yake kuhusiana na maneno yanayozungumzwa na watu kwa
kitendo alichokifanya. Akizungumza exclusive na kituo cha Peace FM, Mrs
Galley alisema yeye haamini kama mwanae na Nando wali ‘kwichi kwichi’,
sababu alichokiona katika video ni wawili hao wamejifunika blanketi
hivyo hata ‘biggie’ hana ushahidi wa kilichokuwa kinaendelea chini ya
blanketi hivyo watu wasimhukumu binti yake.
“In the Big Brother house things are not that open especially about
the romantic scenes for everybody to see that people are having sexy
openly because everything is done under the blanket. We always see male
and females together so for me I don’t think they had sex as it is being
speculated all over”. Alisema.
Benedecta aliongeza kuwa amefurahishwa na kitendo cha boyfriend wa
Selly, Praye Tiatia kukataa kutoa maoni yake kuhusu swala hilo na kuwa
anamsubiri Selly atakaporudi Ghana ampe nafasi kuelezea ukweli wa
kilichotokea.
Couple nyingine ambayo video clip ilivuja ikionesha wakikata kiu ya
viungo viwili muhimu vya mwili ni Betty ambaye tayari ameshauaga mchezo
pamoja na Bolt.