Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea
kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva
Loveness love.
kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Katika interview iliyofanywa na Huddah, mrembo huyo wa Kenya amesema hana uhusiano na Prezzo,
ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni
yangu mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama
uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Huddah
kwa inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview
ikiendelea, na haikumchukua dakika nyingi , akaibuka katika mtandao wa twitter: