Ajali
mbaya ya treni iliyotokea Kaskazini Magharibi mwa Hispania imesababisha
vifo vya watu 77 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa. Ajali imetokea
kwenye mkoa wa Galicia na treni ilikuwa na abiria 218.
Baadhi ya majeruhi
Majeruhi
Shughuli za uokozi zikiendelea
Mabehewa yote nane ya treni hiyo iliyokuwa ikitokea Madrid kwenda Ferrol yameanguka karibu na jiji la Santiago de Compostela. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Hata hivyo maafisa wa serikali wanasema wanaamini hiyo ni ajali tu.
Tayari miili 73 imeshatolewa kwenye eneo la ajali wakati wanne wengine walifariki wakiwa hospitali.