Akizungumza
na paparazi wetu, Wastara ambaye ni nadra sana kukosea awapo mbele ya
kamera, alisema yeye kama mwanamke aliyekamilika hadhani kama atakaa
bila mwanaume lazima ataolewa tena.“Mimi ni mwanamke niliyekamilika, suala la kuolewa ni lazima, japo kwa sasa sifikirii kufanya hivyo, lakini sidhani kama nitaweza kukaa bila mwanaume, lakini pia usumbufu kutoka kwao unaendelea,” alisema Wastara