Muigizaji wa filamu za
kibongo anayejulikana kwa jina la Danny Cloud maarufu kama
Danny mtoto wa mama ambaye alipata umaarufu wa
jina hilo kupitia filamu ya mtoto wa mama
amenusurika kubakwa ( kuliwa kiboga )
Akizungumza na Mdadisi Mambo blog, rafiki wa karibu wa msanii huyo
alidai kwamba Danny alikuwa maeneo ya Bilcanas ambapo
alipewa ofa ya pombe na jamaa zake..
Rafiki huyo alidai kuwa, baada ya kupewa
ofa hiyo adimu, msanii huyo alianza
kuiparamia pombe mfano wa mtu mwenye kiu
kali ya maji, hali iliyomfanya asijitambue
na kuanza kuvua nguo...
"Kuna wakati Danny alinyanyuka na kuelea
chooni huku akipepesuka...Alipofika huko
alidondoka na kulala huko huko chooni, hali
iliyowafanya vibaka watake kumla
kiboga"...Alisema huyo rafiki yake na kuongeza:
"Baada ya kimya kirefu, ilibidi
tukamwangalie ambapo tuliwakurupusha vijana
watatu wakiwa wameshamvua nguo"