Search in This Blog

MTOTO WA KING MAJUTO ABURUDIKA NA WASTARA

MTOTO wa msanii nguli wa Vichekesho hapa nchini ''Hamza king majuto'' akijichana na Wastara alyiekuwa mke wa Marehem sajuki, Hii ni ishara ya upendo kwa shemejiake maana Hamza king majuto aliishi vizuri na
marehemu Sajuki enzi za uhai wake, yani walikuwa marafiki sana Hivyo huchukuwa muda wake kumpa kampani shemejiake kama kawaida.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger