Search in This Blog

LILE BOMU LILILOKUTWA MAENEO YA KANISANI LALILULIWA MUDA HUU

Kishindo kikubwa kimesikika maeneo ya karibu na Mazimbu mkoani Morogoro muda huu baada ya wanajeshi wa JWTZ kulipua kulilipua lile bomu lilikuwa katika makazi ya watu toka juzi....!Taarifa zaidi na picha zitawajia hivi punde,stay tuned.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger