FEZA KESSY WA TANZANIA YUKO HATARINI KUTOLEWA BBA.
Kama hisia za wengi zilivyokuwa kuhusiana na Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda hivyo.. Betty ambaye ni Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt na kumuweka kikaangoni Feza..
Katika Ruby house, Selly ambaye ni Head of house huko, naye ametumia
ukuu wake wa kaya kumuokoa Biguesas na kumtia kitanzini Koketso..
Wiki hii Feza, Dillish, Hakeem, LK4 na Koketso wako kikaangoni..