Search in This Blog

Showing posts with label PENNY. Show all posts
Showing posts with label PENNY. Show all posts

BAADA YA KUTEMWA, PENNY SASA AMCHAMBA DIAMOND, ONA HAPA ALIVYOMCHAMBUA

 
Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  kumwagana    na  msanii  huyo  na  badala  yake  sasa  ameanza  kuzipa  uzito  hoja  za  kumpiga  chini  Diamond  ambaye  walidumu  naye  kimapenzi  kwa  takribani  mwaka  mmoja....


Kwa mujibu wa watu wa karibu  na  Penny, kitendo  cha  Diamond  kumpandisha  jukwaani  Wema  Sepetu  pale Leaders  Club  kilipata  kila  aina  ya  laana  toka  kwa  mama  mzazi  wa  Diamond  kwani  hakuridhia  jambo  hilo.....



"Mama  alilalamika  sana  kuhusu  Diamond  kumpandisha  Wema  pale  leaders  Club, kimsingi  ni  kwamba  hataki  kabisa  uhusiano  kati  ya  Diamond  na  Wema  Sepetu"...Kilisema  chanzo  kimoja ambacho  ni  rafiki  damu  na  familia  hiyo.



Wakati hayo  yakijitokeza  ndani ya familia ya Diamond, kwa upande wa Wema, mama  yake  pia  anadaiwa  kulalamikia  kitendo  cha  mwanaye  kutumika  kila  mara  kumbusti  Diamond  pale  umaarufu  wake  unaposhuka...!



"Mama  Wema  naye  analalamika  mwanaye  kutumika  kama  daraja  la  kuwavusha  watu  kwenye  umaarufu  halafu  wakishafanikiwa  wanamgeuka  na  kumdhalilisha, kifupi  ni  kwamba  hataki  kabisa  kusikia  mahusiano  ya  Wema  na  Diamond"  Kilifunguka  chanzo  hicho.



Aidha  imeelezwa  kuwa  Diamond  amekuwa  akimpgia  simu  Penny  mara  kwa  mara  kumuomba  wayamalize  lakini  Penny amekuwa  akimjibu  kwa  kifupi  kuwa  "Nimekuachia  Wema  Wako"
 Taarifa  nyingine  toka  vyanzo  vya  kuaminika  zinaeleza  kuwa  Penny  amekuwa  akijisifu  kuachana  na  Diamond  kwa  hoja  kuu  tatu:

 
Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.


Moja: Kuondokana  na  skendo  zisizo  na  faida  kwake.

Pili: Kupunguza  malalamiko  toka  kwa  familia  yake.
 


Tatu: Penny  aliingia  katika  mahusiano  na  Diamond  si  kwa  ajili  ya  mapenzi, bali  kulipa  kisasi kwa  Wema  ambaye  aliwahi  kumchukulia  mpenzi  wake.
"Hata  kutoa  mimba  ya  Diamond  amekuwa  akisema  kwamba  kama  angezaa  naye  watoto  wake  wangekuwa  na  sura  mbaya  na  midomo  ya  ajabu".Kilimalizia  chanzo  hicho

PENNY BAADA YA KUTEMWA NA DIAMOND MAMBO YAZIDI KUMUENDEA KOMBO, ONA HAPA MWENYEWE

KATIKA staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtangazaji Peniela Mungilwa ‘Penny’, ambaye ni zilipendwa wa Nasib Abdul ‘Diamond’ alipewa zawadi ikiwemo keki yenye maandishi ya kumsuta.
 
Peniela Mungilwa ‘Penny’.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano hii nyumbani kwake Mwananyamala Mwinjuma alikohamia hivi karibuni, baada ya watu wanaosadikika kuwa ni wadau wa Wema Sepetu, kufika hapo wakiwa na ‘mzigo’ huo uliojumuisha pia kadi, shampeni na maua.
Mmoja wa wapangaji wa nyumba anayoishi Penny, aliliambia gazeti hili kuwa msafara wa magari matatu ulifika hapo na kugonga mlango wakimuulizia mtangazaji huyo wa kituo cha televisheni cha Channel Ten.
“Walivyofika sisi tulijua labda leo ni bethidei ya Penny, maana tuliwaona wakiwa na maua, keki, shampeni na kadi, walipomuulizia tukawaambia ametoka, wakaacha mzigo huo wakisema apewe atakaporudi,” alisema shuhuda huyo.
 
Juu ya Keki iliyopelekwa kwa mtangazaji huyo kulikuwa na maandishi yaliyomsuta na kumtaka kuachana na tabia ya kuchukua mabwana wa rafiki zake pamoja na dada zake, hali inayoonyesha kuwa waliompelekea ujumbe huo ni wabaya wake.
Juhudi za kumtafuta Penny kuzungumzia tukio hilo hazikuweza kuzaa matunda hadi gazeti hili linakwenda mtamboni.

AKAUNTI YA UONGO INAYOTUMIA JINA LA PENNY YAGUNDULIKA IONE HAPA

clip_image002
Akaunti hiyo imepost Post mbalimbali zinazomwandama mdada huyo ambae alikuwa na Mahusiano na Msanii Diamond Platnumz Na hivi karibuni imeripotiwa kuwa wametengana…Sasa haijajulikana Huyu mwenye akaunti hii dhumuni lake ni lipi.

Unaweza kuona Moja ya Post hiyo hapa chini:clip_image001

KAMA KAWAIDA YA DIAMOND, SASA AMMWAGA MPENZI WA PENNY, SOMA ZAIDI

NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana, Risasi Jumamosi limemwagiwa upupu.                                    Penniel Mungilwa ‘Penny’ na Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’.
KAMA UTANI, WEMA ATAJWA
Kwa sharti la kutotajwa mahali popote, ‘mtonyaji’ wetu ambaye ni mtu wa karibu wa wawili hao aliliambia gazeti hili kuwa chanzo cha Diamond na Penny kuingia kwenye listi ya ‘zilipendwa’ kilianza kama utani.
Awali ilidaiwa kuwa kila mmoja amekuwa akijiona mwenye thamani mbele ya mwenzake huku Wema Sepetu naye akidaiwa kuwa chanzo.
                                Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Wema Sepetu.
“Hakuna penzi tena kati yao, wameachana na kila mmoja yuko kivyake.
“Walianza kama utani, unajua wale kila mmoja anajiona yuko juu kuliko mwenzake, lakini kitendo cha Diamond kuripotiwa kutoka na wanawake tofauti mara kwa mara hasa Wema, kimemchosha Penny ndiyo maana ameamua kujiweka pembeni kuepuka msongamano.
“Kupangwa kama mafungu ya nyanya inahusu?” alihoji ‘kikulacho’ huyo ambaye ni rafiki wa Diamond.

RISASI MZIGONI
Baada ya kutojiridhisha moja kwa moja na taarifa za awali kutoka kwa rafiki huyo, timu ya gazeti hili kwa kuwatumia ‘wahangaikaji’ wake maalum, iliingia mzigoni kupeleleza ukweli juu ya tetesi hizo.
Watu kadhaa walio chini ya Wasafi Classic Baby (WCB) ambayo rais wake ni Diamond walihojiwa ambapo majibu yalikuwa yaleyale kwamba, kwa sasa Diamond na Penny imebaki stori!

 SHAKA ILIPOANZIA
Wakati timu yetu ikiendelea na uchunguzi wake makini juu ya uvumi huo, hivi karibuni Diamond alionekana ‘singo’ kwenye pati ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya ‘dada wa mjini’, Halima Haroun ‘ Halima Kimwana’ ambayo aliiandaa Diamond.
Minong’ono ya kuhoji kutoonekana kwa Penny ilisikika ndani ya Ukumbi wa Business Park, Kijitonyama jijini Dar ilikofanyikia pati hiyo iliyojaa vitendo vya ufuska.
“Haiwezekani leo rais (Diamond) akajiachia peke yake bila Penny. Si kawaida ya Diamond.
“Kwa vyovyote watakuwa wameshamwagana kwa sababu kwenye pati zote huwa wanakuwa pamoja tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi,” alisikika mmoja wa waalikwa katika sherehe hiyo.
Katika tukio hilo, Penny alipigiwa simu na paparazi wetu na kujibu kwa kifupi: “Naumwa. Halafu si lazima nije kwani kila mtu ana ratiba zake.”                                                                 Penniel Mungilwa ‘Penny’.
PENNY KIZIMBANI TENA
Baada ya kukamilisha udadisi huo kupitia kwa watu wao wa karibu, gazeti hili lilianza na Penny kwa kumuuliza undani juu ya habari hiyo lakini alionekana kuwa ‘mzito’ kwa kutoingia ndani kulizungumzia sakata hilo huku akiahidi kulifungukia muda wowote kuanzia sasa.
“Kwa sasa sina cha kuzungumza juu ya hilo, nitalizungumzia muda wowote tena si siku nyingi zijazo, lakini si leo, tafadhali sana,” alijibu Penny kwa kifupi na sauti ya chini iliyojaa uchovu.
Paparazi: “Hebu nisaidie, mko wote au hamko wote?”
Penny: “Nimesema sitoweza kusema lolote kwa leo, subirini.”
                                               Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’. DIAMOND KIMYA
Alipotafutwa Diamond kwa njia ya simu yake ya kiganjani, hakupokea licha ya kupigiwa mara kadhaa kwa namba zake zote. Akatumiwa meseji yenye maelezo yote, hakujibu.

MAMA DIAMOND
Ili kujiridhisha na madai hayo, waandishi wetu walimtafuta mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye alisema hajui na hana taarifa hizo.

NDUGU WA KARIBU SANA
Baada ya mama Diamond, paparazi wetu alimpigia simu ndugu wa karibu sana na Diamond, sikiliza:
Paparazi: “Kumbe Diamond na Penny wamemwagana we huniambii. Sasa wifi yako mpya ni nani?”
Ndugu: “Aka! Sikwambii. Kwanza mi nipo mbali, sipo Dar.

WADAU WANAJUA
Haikuishia hapo, timu yetu ilizungumza na wadau mbalimbali ambao walionesha kusikitika huku baadhi yao wakisema walitabiri tangu awali.
“Duh! Penny ameachia ngazi mwenyewe. Sisi tulijua hawawezi kufika mbali, maana penzi lenyewe lilikuwa na mbwembwe nyingi,” alisema mwanamke mmoja anayejua kila kitu.

TUJIKUMBUSHE
Siku za hivi karibuni Diamond alifanya mahojiano kwa njia ya mtandao mmoja wa kijamii ambapo moja kati ya maswali aliyoulizwa ni pamoja na mpango wa kuoa ambapo alisema kuwa hana mpango huo kwa sasa na hatarajii kumuoa yeyote kati ya wanawake wanaotajwa kwa sana midomoni mwa watu (akiwemo Penny).
Wema alipigiwa simu juzi, lakini simu yake ilikuwa ikiita ‘weee’ mpaka inakatika, inaita ‘weee’ mpaka inakatika.

JIUNGE NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA HAPA >>MDADISI MAMBO

PENNY AKONDA KUTOKA KILO 85 HADI 67


Stori: Imelda Mtema
MTANGAZAJI wa Runinga ya DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameamua kujikondesha mwili ambapo amefanikiwa kupoteze uzito usiopungua kilo 18 mwilini.

Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Penny alifunguka kuwa, kutokana na kuona mwili wake unavimbiana, aliamua kufanya mazoezi maalum ya kupunguza mwili sambamba na kufanya ‘dayati’ ambayo imembadilisha muonekano wake (tazama picha ndogo).
“Nimeamua tu kuubadilisha muonekano wangu wa unene kwani nilikuwa ninazidi kuwa bonge, kweli nimefanikiwa maana hata uzito nimepungua kwa sasa.
“Kabla sijaanza kufanya mazoezi nilikuwa na kilo 85 lakini sasa nimepungua hadi kufikia kilo 67, ni mafanikio makubwa ambayo nimeyapata katika zoezi langu la kupunguza uzito,” alisema Penny ambaye ni ‘ubavu’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kuhusu msosi, kwa sasa Penny asubuhi anakula ‘ma-apple’ mawili au kipande cha papai, mchana anakunywa juisi na usiku anamalizia na saladi ya samaki au kuku, analala.

DIAMOND NA PENNY NI KUMBE NDUGU, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Na Shakoor Jongo
MAAJABU! Jambo zito limefichuka kuwa mastaa walio katika uhusiano wa kimapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Penniel Mwingilwa ‘Penny’ ni ndugu, AMANI limepekua na kupata mkanda kamili.

Diamond kwa sasa ndiye mwanamuziki aliye matawi ya juu zaidi kuliko yeyote kwenye Bongo Fleva, akisumbua vibaya na kibao chake cha Number One wakati Penny akiingiza mkwanja kupitia utangazaji katika kituo cha Runinga ya Dar es Salaam ‘DTV’.

ISHU YABUMBURUKA!
Sosi wa karibu, ndani ya familia ya Diamond alinyetisha kwamba, Diamond na Penny ni ndugu wa damu lakini jambo hilo limefahamika hivi karibuni na hivyo wanahaha namna ya kuzima aibu hiyo.

Kwa sharti la kutochorwa jina gazetini, sosi huyo alisema: “Ndugu kwenye familia wanagongana. Wanajaribu kufichaficha hili jambo, lakini inashindikana. Unajua kinacholeta shida zaidi ni kwamba Diamond na Penny watakavyokuwa baada ya uamuzi kupitishwa.”

Alisema, pamoja na ukweli huo kugundulika bila shaka kuwa ni ndugu, bado kuna ugumu wa wapenzi hao waliozama kwenye dimbwi la mahaba kisha kuvunja amri ya sita, kuachana na kubaki wakiheshimiana kama kaka na dada.
“Tatizo ni je, Diamond atakubali kumchukulia Penny kama ndugu yake? Kama atakubali na Penny naye atakuwa tayari? Wote kwa pamoja wanaonekana kama wanapingana na jambo hilo,” alisema.

UNDUGU WENYEWE UKOJE?
Akieleza aina ya unasaba wa Diamond na Penny, sosi wetu huyo alisema, bibi mzaa mama wa Diamond na bibi mzaa mama wa Penny, wamezaliwa na mama mmoja.

Hapa anafafanua: “Kwa sababu hiyo sasa, unaweza kuona kuwa, wale ni sawa tu na mtu na kaka yake. Tena wako ndani ya ukoo kabisa, sema hao mabibi, kila mmoja alikuwa na baba yake, walichangia mama tu.

“Familia imejiridhisha kabisa, halafu isitoshe imeonekana kuwa, undugu wa kuchangia mama ndiyo wa uhakika zaidi kuliko wa baba ambao mtu anaweza kubambikwa hata mtoto asiye wake. Kifupi Penny na Diamond ni ndugu. Sema ndiyo hivyo historia za wazazi wao zinashangaza mpaka basi.”

Kwa mujibu wa sosi wetu, majina ya bibi hao wanaounganisha undugu ni Khadija Said Abas (bibi yake Penny) na Tatu Omar (bibi yake Diamond), wote kwa sasa wametangulia mbele ya haki.

MAMA DIAMOND ACHEKELEA
Wakati jambo hilo likileta msuguano wa kimyakimya ndani ya familia huku wengi wakitaka undugu huo uheshimiwe na uhusiano uvunjwe kabisa, imeelezwa kuwa mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ anafurahia undugu huo

“Kinachoshangaza sasa, mama Diamond amefurahi sana na amezidisha mapenzi yake kwa Penny, ndiyo maana hataki kusikia mwanaye anakuwa na mwanamke mwingine zaidi ya Penny.

“Mwenyewe anasema, kwanza undugu siyo wa karibu sana hivyo haina madhara lakini pia anajua Diamond atampenda, kumheshimu na hatamnyanyasa kwa sababu ni sehemu ya damu ya familia yao,” sosi aliendelea kutiririka.

HAPA AMANI, KULE DIAMOND
Amani lilifanya juhudi za kumsaka Diamond katika simu zake zote za mkononi bila mafanikio, likahamia kwenye mitandao ya kijamii, likamnasa ambapo awali mahojiano yalikuwa na kigugumizi lakini baadaye mambo yalikuwa hivi;
AMANI: Mzee vipi, mbona hupatikani kwenye simu zako zote? Kuna jambo nataka kukuuliza bwana mkubwa.

DIAMOND: Niko Nigeria. Vipi, kuna nini tena?
AMANI: Kuna stori fulani... eti ni kweli bibi yake Penny mzaa mama na bibi yako wewe ni ndugu wa damu kwa maana wamezaliwa na mama mmoja?
DIAMOND: Yeah but wamechangia mama, kila mmoja na baba yake.

AMANI: Kwa hiyo Penny ni dada yako kiasili si ndiyo?
DIAMOND: Yap!
AMANI: Duh! Majanga... kwa hiyo unatembea na dada yako wa damu?
DIAMOND: Nilikuwa najua basi kaka?!

AMANI: Kwa hiyo sasa baada ya kugundua hivyo, unaachana naye au?
DIAMOND: Kama nilivyokuambia, niko Nigeria... halafu niko gym sasa hivi, nitakutafuta nikitoka.
AMANI: Sawa, naomba ujibu hili swali la mwisho. Tumesikia kuwa, mama yako anampenda sana Penny, ni kwa sababu amegundua kuwa una undugu naye?

DIAMOND: Ha! Ha! Ha! Nikitoka gym nitakupigia simu tuzungumze vizuri.
Diamond hakufanya hivyo. Hata alivyotafutwa baadaye kwenye mtandao huo, pia hakuonekana kuwa hewani.

PENNY MIKONONI MWA AMANI
Penny alipopatikana juzi Jumanne, kwa njia ya simu alielezwa ilivyo ambapo alisema: “Ni kweli Diamond ni ndugu yangu wa damu. Tumegundua tukiwa tayari tumeshakuwa wapenzi.

“Hakuna jinsi tena, sanasana naona kama mapenzi yetu ndiyo yamezidi kuimarika. Nampenda sana Diamond wangu na sababu hiyo haitoshi kututenganisha maana kama ni makosa tayari yameshatokea.”

MAMA DIAMOND
Kwa upande wake mama Diamond, baada ya kusimuliwa kila kilichofika mezani mwa Amani na kutakiwa kueleza msimamo wake alijibu kwa kifupi: “Ndiyo ni kweli unayosema, lakini kwa sasa nipo huku Kariakoo (Dar), sipo kwenye nafasi nzuri ya kuzungumza. Njoo nyumbani jioni, tuzungumze vizuri.”

Diamond na Penny wamekuwa kwenye penzi lenye kasheshe nyingi kufuatia mwanamuziki huyo kuhusishwa na wanawake wengine akiwemo aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Wema Isaac Sepetu.
Chanzo:Global Publishers

"NIPO TAYARI KUSHEA PENZI LA DIAMOND NA WEMA" HAYO NI MANENO YA PENNY, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniela Mwingilwa ‘Penny’, ambaye ni mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amesema yupo tayari kuchangia mapenzi na msichana mwingine yeyote ambaye atachukuliwa na mwanaume huyo anayempenda.
Penny katika pozi na Wema.
Penny, chaguo la mama mzazi wa staa huyo wa kibao cha My Number One, alisema maneno hayo, yanayotafsiriwa kama yupo tayari kuchangia mapenzi na hasimu wake, Wema Sepetu ambaye amerejesha uhusiano wake wa kimapenzi na mwimbaji huyo mpenda vidosho.
 
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Ninampenda Diamond na sitaki kumpoteza. Nia yangu ni kumuona akiwa na furaha. Kama Diamond anaona kuna msichana mwingine wa kutoka naye na kwake hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka awe na furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.

Wema Sepetu 'Madam 'na Peniela Mwingilwa ‘Penny’.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema wamerejesha uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya kijamii zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko Ughaibuni.
Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za karibuni amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss Tanzania mwaka

"HAO MI WANGA TENA WANANUKA MIKOJO NA MIDOMO"......PENNY

Hii imetokea kupitia mtandao wa instgram amabao hutumiwa na mastaa na matajiri wengi zaidi Duniani.. Baada ya kupitia mtandao Huo Asubuhi hii nilikutrana na khali ya majibishano kati ya Penny wa Diamond na Fans wake Diamond kwani Diamond ndiye aliyepost picha na kuandika Ujumbe Huu

" Yes! i can see you, my Number one fan...i do Appreciate you and love you to bits...♥♡♥♡ "


Baada ya Diamond kuandika ujumbe huu na kuweka picha hii hapa chini fans walianza kucomment wanavyojua wao ndipo majibishano hayo yalipotokea Wengine wakiwa update wa Penny wengine wa Wema ....ndio Bi dada Penny Naye akatumia hii msg
"pennywangu

@penmondforlife bby tulale waache wanga wa@wemasepetu wakeshe na upumbavu wao mijinga hiyo sisi teampenn tulale hao machizi nasseb wala hawataki wananuka mkojo na midomo kazi hawana walale"

Zicheki comment hizi za fansa wa Diamond na jinsi walivyocomment Kuhusu Penny na wema sepetu ....anagalia hapa chini... jinsi Penny alivyowajibu fans wa diamond


fredynjoweleMh celewiiii
geoffreymwachaDuuuh!!huo mduku n nouumaaa!!
mwatumu37Niombe msamaha wanini ???? tena unikome.huyu peny mshamba anakata mauno kama yuko kibao kata kwenye bday yake, kweli hakuna kilicho nimvutia pale mwanamke lazima uwe na pozi haswa ukizingatia bwana ni ☆★aibu ingia blog zote uone nani alipenda alivyovaa na full ushamba.kitanda mauwa ya nn.hata mseme nini hamfikia wema kwa chochote upende usipende.habari ndio hiyo.@penmondforlife
mwatumu37Niombe msamaha wanini ???? tena unikome.huyu peny mshamba anakata mauno kama yuko kibao kata kwenye bday yake, kweli hakuna kilicho nimvutia pale mwanamke lazima uwe na pozi haswa ukizingatia bwana ni ☆★aibu ingia blog zote uone nani alipenda alivyovaa na full ushamba.kitanda mauwa ya nn.hata mseme nini hamfikia wema kwa chochote upende usipende.habari ndio hiyo.@penmondforlife
penmondforlifeMtag penny mwenyewe I'm not penny mwagopa sasa hivi ehhh �� @mwatumu37@hotlulumichael doesn't need your apology she is wise enough to know you luck humanity and any sense of personality in you!
maryakeeeMnh! Haya sasa Penny analinda page ya diamond hahahaha kama uko nays ai umpetipeti hapo kazi kuzurura intagram na kujipendekeza kwa@hotlulumichael best wa Wema
mwatumu37Sina muda mchafu na wauwaji endeleeni kuuwa tuu habari ndio hiyo koma utadeki bahari wema huko juu hana jipya @penmondforlife
penmondforlife@pennywangu njoo kwa Hawa vinyago msukule
pennywangu@penmondforlife bby tulale waache wanga wa@wemasepetu wakeshe na upumbavu wao mijinga hiyo sisi teampenn tulale hao machizi nasseb wala hawataki wananuka mkojo na midomo kazi hawana walale
clarahcut3Jaman wema na diamond wana real love,hata msemeje watapendana 2, mi nngekuwa ww penny nngetoka na diamond kmyakmya coz adi aibu yan coz bado moyo wake upo kwa diamond, .we jogoo la kuchorwa tu kutwa hutag hudonoi upoupo 2,.huyo anawaste tme kwako 2 bt ukwel waujua in ur heart dat wema z da best than u and she runs diamond's heart
chrissmimiYani umenitibua vuzi wewe uliyesema lulu muhuaji alimuua babako kama huna chakuongea piga Kimya wewe yani UMUACHE MY ONR N ONLY@hotlulumichael Hivi unawashwa au unataka bwana HII NI PAGE YA DIMOND SIYO YA @wemasepetu wana malaya yeyote yule yani dada UMENITIBUA MASHETANI WEWW @mwatumu37@hotlulumichael Plzzz tafuta watu wakuwatukana mamayoooool @rosekassanda
mwatumu37Mbona hamlali mpaka saa hee na vitanda vya mauwa na malemba yenu ya kizee heee bora kunuka mkojo kuliko kuwamshamba lol utasoma no ya kiatu changu.weww lazima uwe muosha choo cha wema @pennywangu@penmondforlife
mercyqueenmqLove from uk
precious101naxySo much love from Australia ����������������
roshronHihihihihi nimpnd hy @mwatumu37
roshronShe cnt cmpr herself to ma lvly Davy@wemasepetu
mwatumu37Shetani ni wewe na ukoo wako mzima sasa kama page ya diamond wewe unakuwasha nn koma ukomae.hapo ulipo umehifadhiwa pua kama pumbu la baba yako @chrissmimi
chrissmimiWewe je kymmayo @mwatumu37 huna haya ujui vibaya mwanamke mzima unabwatukaa kama umepigwa muanzi wa mkundu mamayo nenda kaoshe CHIU ndo uingie humu@hotlulumichael @rosekassanda@esmaplatnum unashobokea watu hovyo mitusi inakiyoka kama ajuza wewe jiangalie mama
husseinchitemoBasi muulizeni diamond anafanya nini na penny Kama hampendi,,yeye mwenyewe alimuacha Huyo wema.kwani wema kashaachana na wangapi???*so Ni sishangai kuachana na diamond.nadhani ni muda wa kukubali kuwa hizi ni Zilipendwa...penny is the one who z running the show.nyie chambaneni,piganeni vijembe.hata Kama mnaumuona penny mshamba bt ndo kapendwa na diamond,,,Huyo wema mjanjaa lakini ndo hana Huyo diamond
dabbydabbyHahaha @husseinchitemo dole gumba mia mia broo

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger