AKAUNTI YA UONGO INAYOTUMIA JINA LA PENNY YAGUNDULIKA IONE HAPA
Akaunti
hiyo imepost Post mbalimbali zinazomwandama mdada huyo ambae alikuwa na
Mahusiano na Msanii Diamond Platnumz Na hivi karibuni imeripotiwa kuwa
wametengana…Sasa haijajulikana Huyu mwenye akaunti hii dhumuni lake ni
lipi.