Search in This Blog

Showing posts with label SINTA. Show all posts
Showing posts with label SINTA. Show all posts

SINTAH NA FLORA LYIMO SASA DAMU DAMU KIASA KWAMBA SINTAH AMUUNGA MKONO FLORA KWENYE BIASHARA YAKE



Alichokiandika Sinta Kuhusu Jinsi Flora lymo anavyotangaza Biashara online:
Biashara ni matangazo na inapendeza sana ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano mie nauza wedding dresses kutwa natangaza humu na navaa pia, na yeye Flora anauza  mother's union  so mpeni deal masela akamate mahela na hii xmass inakuja anakusafirishia buree kabisa na fasta, Mother's union oyeahhh

biashara ni matangazo na na itakuzika wewe mwenyewe ukiitangaza na kutuonyesha mfano kama utapendezaje ukiivaa, sasa ushatangaziwa Mother's union sasa kazi ni kwako kuagiza white, pink or red light special.

ciao 


nipo busy ku advertise my business
wedding dresses

support Flora Lymo kununua chupi aina ya mother's union ili umuonyeshe baby xmass iko tofauti.

SINTA ATOA YAKE BAADA YA IRENE UWOYA KUAMBULIA MAKAVU LIVE HAPO JANA

Sintah amefunguka katika blog yake kuhusu mwanadada Irene Uwoya kubugi siku ya jana na kuweka Picha ya Vin Diesel akidhani ni Paul Walker. Soma hapo chini alichokisema


Van Diesel ambaye
Irene alifikiri ni Paul Walker
Let me a shame the devil, mara nyingi wanapokufa mastaa wa nje jamani ktk mitandao ya jamii tunakufa mbavu, sasa watu ndio kujifanya wanamjua sana watasononeka kiasi kwamba utafikiri ni ndugu wa damu,.
sasa afe star wa kwetu mmmmh hauoni hilo vumbi kama la nje jamani tujaribu kupenda na kuthamini vya kwetu vikiwa hai na vikitutoka sio kujishauwasti tujuwesti na wewesti unamjuasti paul walkerst kumbest nop
poor Irene amaejikuta akizodolewa, kwa kuchapia sasa sijui alitaka  aonekane anawajua  Hollywood celebrities  very well akajikuta anakosea baada ya kuweka pic ya Van Diesel na si ya Paul Walker aliefariki na kusisitiza bwana ametoa na bwana ametwaa..
 calm down, don't try so hard to fit in the cycle...... kama ni no ni NO tu...
I do the seeking n you do the judging

BAADA YA KUPONDWA SANA NA WASHABIKI, DIAMOND ATETEWA NA SINTAH

"Tatizo watu mmezoa ku cram sana kwamba kila anaeenda katika harusi aende na suit, Nchi nyingine hawapo hivyo kama ukiona hao waliopo na Diamond hapo chini hakuna aliepigiliaa kihivyo yaani unatakiwa uwe simple but elegant,, besides ilikuwa ni ndoa ya kimila so kupigiliamo suit haihusu,,

daah mnavyokosoa as if mnajua sana fashion, to me Diamond was on point na ameonekana mbunifu, maana hajatuendea na suit pale, me nadhani alisoma kwanza mazingira ndio akatupiamo kitu chake,,, its all about fashion sio mna cram

wamaaa Diamond ulitokelezea na kuwa so different kwenye ukweli lazima nasimama na ukweli....." Sintah
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger