Search in This Blog

Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts
Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts

WATENGENEZAJI WA FILAMU YA TRANSFOMER KUTIWA MBARONI, SOMA SABABU HAPA

trans
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.
Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika taarifa yake kuwa watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao vizuri katika filamu hiyo kama walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moja ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza

ONA PICHA JINSI MSANII FALLY IPUPA ALIVYOPONEA CHUPUCHUPU KUFA KWENYE AJALI

 


Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa






Picha na Voice of Congo

MTOTO MWENYE MIAKA 5 LAKINI KULA YAKE NI NOMA HUMFIKII HATA KIDOGO, MADAKTARI WASEMA AELEKEA KUFA

 

Suman Khatun, Mtoto wa kike wa miaka mitano wa nchini India humaliza kilo 10 za mchele, kilo tano za viazi na lita sita za maziwa kila wiki asipopewa chakula hupiga kelele na hupiga watu mawe. Madaktari wanahofia kuwa mtoto huyo anaelekea kufariki kutokana na kula sana. GONGA Life Style Kushoto pembeni kwa habari kamili
 
  Matumizi ya kila wiki ya Suman
  
Suman katika picha ya pamoja ya familia


  
Matumizi ya kila wiki ya Suman


CREDIT : DARUBINI BLOG

HALI YA AFYA RAISI MUGABE NI TETE



An insider from Zimbabwe's ruling government has posted information suggesting that longtime president of the African nation Robert Mugabe has collapsed.

Happyton Bonyongwe, the director-general of the Zimbabwean Central Intelligence Organisation, has reportedly tightened security at State House in Zimbabwe, a day after fears for Mr Mugabe's health surfaced, internet commenter Baba Jukwa said.-Baba Jukwa, an insider in the ruling Zanu-PF party who uses a Facebook page to expose corruption in the regime, on Saturday reported rumours that Mr Mugabe had collapsed.
However, he added that Mr Mugabe's press secretary, George Charamba, had denied that the President was ill.

There have been rumours for several years that Mr Mugabe, who turns 90 next month, has prostate cancer.

Baba Jukwa, who calls himself "a disgrunteld Zanu-PF insider", said on Saturday that Mr Mugabe had "gone on his final visit" to his doctor. Mr Mugabe had previously offered a $US300,000 reward for the unmasking of Baba Jukwa.

TANGU BANGI IHALALISHWE, WATEJA WAKE WAPANGA FOLENI KUBWA KWAAJILI YA KUNUNUA, ANGALIA HAPA

Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014.
bangi 9
Kwenye hii picha hapa juu na hii ya chini ni foleni ya watu wakiwa kwenye foleni kuingia kwenye duka la kuuzia bangi, hii ni foleni kwenye siku ya kwanza kabisa hawa walikua miongoni mwa wateja kwenye moja ya maduka ya kuuzia hizo bangi ambazo ziko kwenye ladha tofauti mfano strawberry.

DAWA YA MASHOGA YAPATIKANA NCHINI UGANDA, SASA NI KUCHOMWA MOTO TU, MUONE HUYU ALIVYOCHOMWA MOTO



The grounds are seemingly getting too hot for the hom0s3xuals in Uganda with forces fighting them even from the legislatures themselves. Recently a Bill was passed in parliament that approved the death penalty or life imprisonment on h0mos3xuality. This gay man was cornered making love with his partner and luckily the other escaped but unfortunately for him he was stoned in public before being set on fire with residents arguing that h0mos3xuals doesn’t deserve to live and they’ll deal with any same way. As shown in the photo,the crowd calmly watches on as his body gets consumed bu the fire. Is this justifiable and the way to deal with h0mos3xuality?

MCHUNGAJU ASOMBWA NA MAJI BAHARINI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU



NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.

Pastor Frank Kabele mwenye umri wa miaka 35, aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.

Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya pastor huyo kujaribu kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi.

MCHUNGAJI AZIDIWA NA HAMU YA NGONO NA KUAMUA KUTAFUTA KAHABA MWENYE MIMBA, NA MWISHOWE KUFUMANIWA





According to reports, a husband who suspected his wife of infidelity has caught her red-handed in the arms of another man.
Sources revealed that the woman, who is already a few months pregnant, has been seeing her lover and having extra-marital affairs with him for a while now. The husband has reportedly been hearing the rumours of his wife’s affair and decided to take action.
On this fateful day, the wife and her lover, met at their usual location (a hotel) to have their lovemaking session. The husband, at this time, got a call from his informant. He then busted into the hotel room and caught his pregnant wife in the act.
The husband reportedly took photos and started distributing them on social media.

DUBAI YAWEKA REKODI YA DUNIA KATIKA KUSHEREHEKEA MWAKA 2014, ONA VIDEO YAKE JINSI WALIVYOSHEREHEKEA

Fataki zipatazo 500,000 zenye rangi tofauti tofauti kwaajili ya kuupokea mwaka mpya 2014 ziliandaliwa kwa takriban miezi mitano, mtandao wa Guinness World Records umeripoti.
Fataki hizo zilidumu kwa dakika sita kuanzia saa 6 kamili usiku wa 01/01/2014.
Dubai Jengo la Burj Khalifa Dubai wakati wa mchana
Waandaaji wa fataki hizo walilenga kuvunja rekodi iliyowekwa mwaka 2012 katika Golden Jubilee Anniversary ya Kuwait.
Fataki dubai-2
Jumla ya computer 100 zilitumika kuleta muonekano wa fataki hizo za Dubai zilizoambatana na muziki uliotengenezwa maalum kwaajili ya shughuli hiyo (choreographed musical soundtrack).
Rais wa Guinness World Records Alistair Richards aliyesafiri kutoka Uingereza hadi Dubai maalum kwaajili ya kushuhudia fataki hizo wakati wa kuupokea mwaka mpya alisema, “The scale of this record attempt is truly impressive and will ensure all eyes are on Dubai”.
Tazama video ya fataki hizo

MTUMISHI WA MUNGU (MCHUNGAJI) NA FAMILIA YAKE WATIWA MBARONI KWA KUTENGENEZA FEDHA BANDIA

the-suspects-620x330 The suspects and the seized items. Top right is Pastor Akubuiro 49-year-old Pastor Akubuiro, who was born in Imo State, is the General Overseer of The Mountain of Breakthrough Deliverance Ministry, also known as Land of Solution, located at Plot 7, Koya Estate, Igbo Olomu, Agric, Ikorodu, Lagos from where he and other suspects were arrested. The SSS boss said the investigation started four months ago due to “worrisome fake naira currency in circulation in Kogi State”. The breakthrough in the operation happened when the SSS traced and arrested the 16-man syndicate led by Rev. Godson O. Akubuiro.
Items recovered from the suspects include equipment and materials used in printing fake currencies, a large quantity of printed fake notes, cut to size blank currency notes and N1.3 million fake naira notes. There were also photocopier machines and different colours of oil paints. Pastor Akubuiro, admitted the crime before reporters, said he was “an ordained man of God” until the devil overwhelmed him. He further narrated that the criminal activity started in November 2012 in his house, along with his family members. Pastor Akubuiro also added he was not using the money for himself, but in support of the less-privileged and the needy in his congregation. He pleaded for leniency, saying men of God were often tempted like King David in the Bible, who though a man after God’s heart, fell many times yet was pardoned by God. SSS urged the public to be wary of the fake naira notes in circulation and report suspects to security agents.

ANGALIA SUPERSTAA WA MAREKANI ALIVYOTWEET KISWAHILI


Mpaka 2013 imemalizika, Kiswahili kimechukua headlines mara kadhaa kwenye AyoTV na millardayo.com kutokana na kutumika kwenye sehemu ambazo hatujazoea kuona kikitumika mfano kupatikana kwa video za raia wa Marekani na nchi nyingine za Ulaya wakiimba Bongoflevana  kuzungumza Kiswahili darasani.

Wakati kilipotokea kifo cha mzee Nelson Mandela, staa wa hiphop duniani Nicki Minaj alimiliki headlines kwenye nchi zinazoongea Kiswahili baada ya kuandika ujumbe kuhusu mzee Mandela na kisha kumalizia kwa kuandika kiswahili ‘madaraka kwa wote’ kwenye page yake ya Instagram. 
December 31 2013 saa kadhaa kabla ya kuumaliza mwaka staa wa hiphop kutoka Marekani pia ambae jina lake lina neno la Kiswahili Talib Kweli (38), aliweka neno la Kiswahili kwenye moja ya sentensi zake ndani ya mtandao wa twitter alio na wafuasi zaidi ya laki nane huku akiwa anafatwa na mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Nikki wa II, Godzilla, Profesa Jay, Chidi Benz, Fid Q, Vanessa Mdee na wengine.

VIDEO: HII NDIO VIDEOINAYOONYESHA HELKOPTA YA MAREKANI ILIVYOANGUAKA

HELICOPTER
NTV wameripoti kwamba Helicopter hii ya polisi ilianguka maeneo ya Waa huko Kenya December 30 2013 baada ya kupata matatizo ya kiufundi ambapo walijeruhiwa watu watatu waliokuwemo ndani yake ambao wote waliokolewa na kukimbizwa hospitali

MUONE MWANAUME MKENYA ALIYEMPIGA MKEWE HADI KUMUUA MBELE YA MTOTO WAKE WA MIAKA 6


A young Kenyan lady has been killed by her husband in Northolt, West London.  The lady, identified as  Shamim Gabriel was stabbed to death by the husband, Richard Otunga in front of their six-year old daughter.
It was the traumatised and crying daughter who called the police for help through the 999 emergency number while the killer dad was still on phone bragging to his father-in-law of how he had killed the woman after a domestic quarrel.
Police arrived at the scene within minutes but the woman was already dead.  The man was arrested and has been detained at a local police station for interrogation.
Kenyan neighbours who are friends to the young couple told the Standard that the house, which is now a scene of crime was still sealed off by the police as forensic experts continued to look for clues.
The obviously physically shaken daughter  who is allegedly still in tears is in the hands of specialists social services officers who have already started giving her counselling.
A statement sent to the Standard by the Metropolitan Police said: “Police were called at approximately 07:00hrs on Sunday, 29 December to a residential address on Taywood Road, Northolt following reports of an injured woman. Officers and London Ambulance Service attended.
The 33-year-old woman was pronounced dead at the scene at 07:25hrs. Next of kin have been informed. We await formal identification.
A post-mortem examination will be held in due course. The Homicide and Major Crime Command is investigating. A 37-year-old man was arrested at the address on suspicion of murder and remains in custody at a west London police station.”

MVULANA WA MIAKA 9 AWEKA REKODI MPYA YA DUNIA, SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Mvulana wa miaka 9 kutoka Kusini mwa California, Marekani ameweka rekodi mpya kwa kuwa mtu mwenye umri mdogo kuwahi kupanda na kufika kwenye kilele cha mlima Aconcagua ulioko nchini Argentina.
Tyler akiwa kileleni Tyler akiwa kwenye kilele cha mlima Aconcagua
Mtoto huyo aitwaye Tyler Armstrong na baba yake walifanikiwa kufika kwenye kilele cha mlima huo wenye urefu wa futi 22,841, siku ya Christmas mwaka huu.
Aconcagua mountain Aconcagua Mountain
Kwa mujibu wa New York Daily News, ni asilimia 30 tu ya watu 7,000 wanaopata vibali vya kuupanda mlima Aconcagua ambao hufanikiwa kufika kileleni, pia zaidi ya watu 100 wamewahi kuripotiwa kufariki wakijaribu kuupanda mlima huo..
Tyler na baba yake Tyler na baba yake baada ya kushuka kutoka mlimani
Hata hivyo haikuwa kazi rahisi kwa Tyler kufanikisha safari hiyo, sababu alianza maandalizi ya kupanda mlima huo zaidi ya mwaka mzima uliopita, ambapo alikuwa akifanya mazoezi mara mbili kwa siku kwa mwaka mzima na nusu.
Rekodi iliyokuwepo kwa mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kupanda mlima huo iliwekwa na Matthew Moniz ambaye alikuwa na miaka 10 wakati alipofanikiwa kufika kilele cha mlima huo mwaka 2008.
Tyler pia amewahi kupanda mlima Kilimanjaro ulipo Tanzania alipokuwa na miaka 8.
Source: NY Daily News

WHITE HOUSE YAZUIA TALAKA YA OBAMA KWA MKEWE



Obama akiwa 'busy' na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt wakati wa mazishi ya Mandela Afrika Kusini.
WASHINGTON, Marekani
NDOA ya Rais Barak Obama na mkewe Michelle haitaweza kuvunjika kwa sasa kwa vile mke huyo mrembo atatakiwa kuendelea kuishi katika Ikulu ya White House hadi mumewe atakapomaliza muhula wake wa pili wa uongozi mwaka 2016.

Kwa mujibu  wa vyanzo mbalimbali, Michelle, mama wa watoto wawili, Sasha na Malia, hata kama ataachika atalazimika kuendelea kubakia ikulu kwa ajili ya mahitaji ya kuwa pamoja na mumewe katika hafla za kiserikali zinazohitaji uwepo wa mke. Hiyo ndiyo sera ya Ikulu ya Marekani.
Juzi, Gazeti la The Nation la Marekani liliripoti kuparaganyika kwa ndoa hiyo iliyowahi kutajwa kama ndiyo bora zaidi duniani, kwa kile kilichoelezwa kuwa kuchukia kwa Michelle baada ya kumwona mumewe akishoboka na Waziri Mkuu wa Denmark, Helle Thorning-Schmidt  wakati wa shughuli za kumuaga rais wa zamani wa Afrika Kusini, hayati Nelson Mandela ‘Madiba’.
Vyanzo katika mitandao mbalimbali vilisema ndoa hiyo ilikuwa inawaka moto kwa muda mrefu na kwamba hata kabla Michelle hajaanza kuishi katika jengo la peke yake katika viwanja hivyo vya ikulu, walikuwa wakilala ‘mzungu wa nne’.
Mwaka 2012, uvumi ulisambaa kwa kasi duniani ukielezea kutengana kwa watu hao wawili maarufu zaidi, hali iliyosababisha Ikulu ya Marekani kukanusha taarifa hizo.
Hata hivyo, hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na ikulu, Obama wala Michelle juu ya madai ya kutengana kwao.

HIVI NDIO JIJI LA NEW YORK NCHINI MAREKANI WATAKAVYOUPOKEA MWAKA MPYA


Hapa ni sehem maalumu itakayowekwa ball drop 2013 kuashiria mwaka mpya. Times Square New York City ni sehem maarufu sana kwa sherehe za kushuhudia ball drop hilo kila mwaka. Watu kutoka sehemu mbali mbali za Marekani na dunia hufika hapa kila mwaka na kushuhudia ball hilo kwa mbwebwe nyingi kama kukiss na hata watu wengine kupropose kwa wachumba zao ili kuanzisha safari ndefu ya kimapenzi hadi ndoa.
Hii ndiyo taswira ya sehemu hii maalum kwa live performance wakati watu wakisubiri kuona ball likidondoka. Hata kukiwa na snow au mvua watu huingia sehemu hii mapema kabisa kuanzia saa 4 asubuhi na watakaa hapo hadi saa 6 usiku bila hata kujigusa. Watu wengine hudiriki kwenda na chakula na hata mifuko wa kujisaidia haja ndogo. Hufanya hivyo ili kujihakikishia nafasi ya kuona live performance na ball drop la kuashiria mwaka mpya kwa karibu kabisa.
Traffic za magari zimepungua baada ya police kufunga baadhi ya barabara kwa ajili ya mkesha huo wa mwaka mpya katika maeneo ya times square NY.
Unaweza kuona uzio wa kuzuia watu kuingia katikati ya barabara mapema kabla ya wakati.
Jamaa huwezi kuamini licha ya kuwa na baridi ya 27 degress lakini kifua nje na boxer yake akitoa burudani katika eneo ilo la times square NY. Ukitaka kupiga picha na jamaa huyu unatakiwa kutoa tips ya dola 2 kwani kazi na dawa.
Afisa wa ubalozi wa Tanzania hapa Marekani kutoka Washington DC bwana Misana akipata ukodak na mwenyeji wake Ny Ebra katika maeneo ya Times Square NY. 
Bwana Misana akiwa na familia yake maeneo ya Times Square NY.
Unaweza kuona watu ni wengi kiasi gani licha ya kuwa na hali ya hewa ya baridi katika jiji New York kwa sasa.

MDADA HUYU AVUNJA CHOO MARA TATU BAADA YA KUKIKALIA, MCHEKI HAPA

ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.
Record-breaking rear: Sarah Massey shows off her seven foot wide posterior while cooking at home
Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema  anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.
Problems: But the mother-of-two admits she suffers from limited mobility caused by her vast posterior 
Older: Sarah says her bottom attracts men years older than her, including Albert (left), the father of her sons
Tight fit: Along with doors, Sarah confesses to having problems doing up her seat belt because of her rear 

MICHAEL SCHUMACHER AMBAYE NI BINGWA WA MBIO ZA MAGARI MAARUFU HALI YAKE MAHUTUTI HOSPITALINI

GRENOBLE, France — Doctors treating Michael Schumacher refused Monday to predict an outcome for the seven-time Formula One champion, saying they were taking his critical head injury "hour by hour" following a skiing accident.
Chief anesthesiologist Dr. Jean-Francois Payen told reporters that Schumacher was still in a medically induced coma and doctors were focusing only on his current condition.
"We cannot predict the future for Michael Schumacher," said Payen, who is also in charge of Grenoble University Hospital's intensive-care unit.
"He is in a critical state in terms of cerebral resuscitation," he added. "We are working hour by hour."
Schumacher, the most successful driver in Formula One history, arrived at the Grenoble hospital a day earlier, already in a coma, and immediately underwent brain surgery.
The German driver was skiing with his son Sunday morning in the French Alpine resort of Meribel when he fell and hit the right side of his head on a rock. He was wearing a helmet, but doctors said it was not enough to prevent a serious brain injury. Payen said Schumacher would have died without the helmet.
Gerard Saillant, a trauma surgeon who operated on Schumacher when he broke his leg in a 1999 race crash, was at the hospital as a visitor. He told reporters that Schumacher's age — he turns 45 on Jan. 3 — and his fitness should work in his favor.
But the Grenoble medical team was cautious about Schumacher's prognosis.
They lowered his body temperature to between 34 and 35 degrees Celsius (93.2 to 95 degrees Fahrenheit) as part of the medically induced coma, which essentially rests the brain, slowing its metabolism to help reduce inflammation after an injury.
The neurology team at Grenoble University Hospital is recognized as among the best in France and the hospital, in a city that is the gateway to the French Alps, sees a large number of skiing accidents every year.
Schumacher has been seriously hurt before. In addition to the broken leg in a crash at the Silverstone race course, he also suffered serious neck and spine injuries after a motorcycle accident in February 2009 in Spain.
The area where Schumacher was skiing is part of a web of trails that slice down through a vast and, in parts, very steep snowfield. Although challenging, the snowfield is not extreme skiing. The runs are broad and neatly tended, and the ungroomed area in between, known as off-piste — where the resort said Schumacher was found — is free of trees.
The resort said Schumacher was conscious when first responders arrived, although agitated and in shock. But Payen said Monday that after the fall Schumacher was not in a "normal state of consciousness." He was not responding to questions and his limbs appeared to move involuntarily.
He was airlifted to a local hospital and then later brought to Grenoble. Doctors said that stopover was typical and did not affect his condition.
His wife and other family members were at his bedside.
"The family is not doing very well obviously. They are shocked," said his manager Sabine Kehm, who added that the family still appreciated the outpouring of support.
The French prosecutor in Albertville has opened an investigation into the accident, according to the Mountain Gendarmerie in Bourg-Saint-Maurice, which will participate in the probe. The goal is to determine the circumstances of the accident and what was responsible for it.
Formula One drivers and fans rushed to wish Schumacher a quick recovery.
"Like millions of Germans, the chancellor and members of the government were extremely dismayed when they heard about Michael Schumacher's serious skiing accident," German Chancellor Angela Merkel's spokesman, Steffen Seibert, said in Berlin.
Sebastian Vettel, for whom Schumacher was a boyhood idol, told German news agency dpa: "I am shocked and hope that he will get better as soon as possible."
Ferrari, which Schumacher raced for, expressed its concern in a statement.
"Everyone at Ferrari has been in a state of anxiety since hearing about Michael Schumacher's accident," it said, adding that company president, Luca di Montezemolo, and race team leader, Stefano Domenicali, were in contact with the family.
British former world racing champion Jenson Button said posted that his "thoughts are with Michael Schumacher at this tough time. ... Michael more than anyone has the strength to pull through this."
During his career, Schumacher won seven drivers' championships and 91 race wins. After initial success with the Benetton team, Schumacher moved to Ferrari and helped turn the Italian team into the sport's dominant force. After initially retiring in 2006, he made a comeback in 2010 and raced for three years with Mercedes.

MTOTO WA MBUNGE KENYA ASAKA UMAARUFU KWA KUWEKA PICHA ZINAZOONYESHA MAUNGO YAKE, ZIANGALIE HAPA





 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger