Suman Khatun, Mtoto wa kike wa miaka mitano wa nchini India
humaliza kilo 10 za mchele, kilo tano za viazi na lita sita za maziwa kila wiki
asipopewa chakula hupiga kelele na hupiga watu mawe. Madaktari wanahofia kuwa
mtoto huyo anaelekea kufariki kutokana na kula sana. GONGA Life Style Kushoto
pembeni kwa habari kamili
Suman katika picha ya pamoja ya familia
Matumizi ya kila wiki ya Suman
CREDIT : DARUBINI BLOG