Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake
Juma Kilowoko ‘Sajuki’ afariki dunia, wamekuwa wakijitokeza wanaume
kibao wakitaka kumuoa lakini amegundua wengi wana nia ya kunitumia tu.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Wastara alisema kama
mwanamke amekuwa akitamani kumpata mwanaume wa kumfariji lakini
kinachomchanganya ni sampuli ya wanaume wanaotuma maombi kwake.
“Mpaka sasa wameshanitokea wanaume zaidi ya kumi lakini wengi wao
nawaona wananitaka ili kujua nini nilichonacho na wengine wananifuata
wakidhani watapata mali na si mapenzi ya dhati.
“Kimsingi wanataka tu kujua Sajuki alidata na nini kwangu, mimi siko
hivyo. Siwezi kumruhusu mtu aingie kwenye maisha yangu kwa masilahi
yake. Ninayemhitaji namjua moyoni na ipo siku nitampata kwani siangalii
mfuko wa mtu, naangalia tabia,” alisema Wastara.
Showing posts with label WASTARA. Show all posts
Showing posts with label WASTARA. Show all posts
WASTARA ASEMA "ANAYETAKA KUNIOA AWE NA MKWANJA SITAKI MASIKINI"7
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe,
marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma
amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji
lazima awe mtu mwenye fedha zake.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es
Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati
muafaka wa kumpata mtu wa kuziba pengo la marehemu mume wake.
“Inatosha
sasa, nadhani muda wa kuwa na mwenzangu umefika. Napenda huyo mwanaume
awe mwenye huruma, upendo na kutambua thamani ya mke lakini ni vizuri
akiwa mwenye kujituma na awe na fedha nyingi.
“Natamani kuolewa na bilionea. Najua nikiwa na mwanaume wa aina hiyo sitateseka, nitapata kila ninachokitaka. Unajua mimi kama mwanamke nina mambo mengi. Siyo siri natamani itokee siku moja niendeshe Hummer au Prado (aina za magari) kulingana na hadhi yangu.
“Kiukweli
nitafurahi sana nikimpata mwanaume wa aina hiyo, maana nitakuwa na
uhakika wa kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kunisaidia katika
shughuli zangu za sanaa,” alisema Wastara.
“Natamani kuolewa na bilionea. Najua nikiwa na mwanaume wa aina hiyo sitateseka, nitapata kila ninachokitaka. Unajua mimi kama mwanamke nina mambo mengi. Siyo siri natamani itokee siku moja niendeshe Hummer au Prado (aina za magari) kulingana na hadhi yangu.
MWAKA MMOJA WATIMIA TANGU SAJUKI ALIPOAGA DUNIA, WASTARA ASEMA KITU, SOMA HAPA ALICHOSEMA
Hayo ni maneno aliyoyasema mwigizaji Wastara leo katika kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja toka alipofariki marehemu Sajuki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen.
WASTARI AELEKEA SONGEA KUFANYA KISOMO CHA MAREHEMU SAJUKI
Mcheza filamu za kitanzania Wastara Sajuki ameondoka leo mkoani Dar
es salaam kuelekea Songea kwenye kisomo cha marehemu mume wake Juma
kilowoko(sajuki)
BONGO MUVI WAMTENDA TENA WASTARA, SOMA KUJUA ZAIDI
DUA maalum ya kumbukumbu na kumuombea aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ imezua minong’ono mingi kufuatia wasanii wengi wanaounda Kundi la Bongo Movie kudaiwa kumfanyia mbaya mkewe, Wastara Juma kwa kutohudhuria, Ijumaa Wikienda lilikuwepo.
Dua hiyo ya ilifanyika Jumamosi iliyopita nyumbani kwa marehemu Tabata-Bima, Dar na kumalizikia kaburini kwake Kisutu.
Katika tukio hilo, wadau mbalimbali wa filamu na burudani, walionekana kushangazwa na kitendo cha wasanii wengi wa Bongo Movie kutokuwepo licha ya marehemu Sajuki kushirikiana nao kwa karibu enzi za uhai wake.
Aidha, wengine walifika mbali kwa kuhoji kulikoni wafanye hivyo, maswali ambayo yalimuongezea uchungu mkubwa Wastara aliyekuwa akibubujikwa machozi mara kwa mara.
Kwa upande wake, Wastara alisema anamshukuru Mungu kwa kufanikisha shughuli hiyo na kuwaombea kwa Mungu wote waliojitokeza kumuunga mkono kwenye dua hiyo.
“Nawashukuru wote waliojitokeza, wamenifariji sana,” alisema Wastara kwa simanzi.
Wasanii wa filamu waliohudhuria dua hiyo, ni pamoja na Denis Sweya ‘Dino’, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Flora Mvungi, Hamis Ramadhan ‘H. Baba’ na Suleiman Bin Sinan ‘Bond’.
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ alipotafutwa, simu iliita bila kupokelewa.
Sajuki alifariki dunia Januari 2, 2012 na katika kutimiza mwaka mmoja kaburini misa nyingine itafanyika nyumbani kwa wazazi wake mkoani Songea Januari 2, 2014.
WASTARA NA TEAM YAKE "TEAM WASTARA" WAENDA KWENYE KABURI LA SAJUKI NA KUMUOMBEA DUA
Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.
Mzee Chiro akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.
Wastara na Flora Mvungi
Dua ikisomwa

Picha kwa hisani ya Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
Picha kwa hisani ya Wastara
WASTARA AMUENZI SAJUKI NA KUAMUA KUANDIKA HIKI, SOMA ALICHOANDIKA
Mwezi
ujao (January 2) aliyekuwa muigizaji wa Bongo Movie marehemu Juma
Kilowoko maarufu kama Sajuki atafikisha mwaka mmoja tangu afariki dunia.
Mkewe Wastara Mohamed (Wastara Sajuki) ameandika ujumbe wa kumkumbuka kipenzi chake kupitia Instagram.
“Siku week mwezi hatimae mwaka unaingia tokea ukimbie mikononi mwangu mwetu, milele nitakukmbuka daima nahisi uko sehemu nzuri unanisubiri, tal 2/1/2014 my bld anatimiza mwaka tokea atutoke katika hii dunia, nawaomba tuwe pamoja katika duwa itakayofanyika mkoani songea kokte ulipo inua mikono kumuombea juma kilowoko aka sajuki and mboni ya wastara”. Ameandika Wasrata
FILAMU YAWASTARA YAINGIA RASMI MTAANI
Baada ya muda mrefu kupita hatimae filamu ya Wastara Sajuki imeingia mtaani rasmi jana
Kupitia ukurasa wake facebook ameposti picha akiwa ameashika filamu
hiyo mkononi na baada ya muda mashabiki wake wakaanza kumtumia picha
wakiwa wameshika filamu hiyo
Shaymaa inasambazwa na kampuni ya steps na ndani ikiwa imewashirikisha mastaa wengine kama Salm Jabu na Yusuph Mlela
"MUDA MCHACHE UJAO MTAMJUA HONEY WANGU, ACHENU KUENEZA MANENO YENU YA UDAKU"..WASTARA
KAJALA ASHINDA KESI, SASA KUWA HURU
Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
HUU NDIO UKWELI HALISI WA WASTARA KUA KWENYE UHUSIANO NA STAR HUYU WA BONGO MOVIE.
:- Mtaani ni noma wegi wamlilia Wastara,
:- Hofu yatawala mahusiano yao
BAADA ya mikasa na kashifa kutulia kunako tasnia ya filamu Swahiliwood balaa limezuka upya, ni zamu ya Wastara Juma ‘Stara’ baada ya kusemekana anatoka na mpenzi wake mpya ambaye ni Producer wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon ambaye pia ni Presenter wa kipindi cha Cut & Action ambacho uruka katika televisheni ya Channel Ten.
Habari za uhakika zilitua za ndani kuhusu wawili hao zilisema Bond ambaye aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambaye kipindi fulani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile tangu akiwa mdogo.

Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara awe makini katika uhusiano wao la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu. Aidha chanzo chetu cha habari kimesema kuwa Bond ambaye tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hadi anampata Stara, ” Huyo Bond anaogopwa sana na mabinti kwa sababu ya kauli ya Anti Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anayemkubali kwa hofu hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho” Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu kipo wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua Bond kama shemeji yao, Mapaparazi wa Xdeejayz walifunga safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishi Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao walifunguka” Aaah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja kupika na kupakua,” alisema jirani huyo aliyejitambulisha kwa jina la Amina
uhusiano wao ulianza siku ambayo Bond alimfanyia interview kwenye kipindi cha Cut & Action na baadae wakageuza na kuwa wapenzi kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na Bond.
Hata hivyo Xdeejayz iliwavutia waya wawili hao kuzungumzia ishu hiyo lakini simu zao ziliita tu bila majibu hadi habari hii inaruka hewani!

"WASTARA ANAFANYISHWA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE"........ ANTI LULU
Wakati Wastara akitoa kauli hiyo,watu mbalimbali akiwemo mwanamke aliyewahi kukimbia penzi la jemba hilo, Lulu Semagongo maarufu kwa jina la (Anti Lulu), akidai kwamba jamaa anatabia ya kula nyuma na mbele tena kwa kulazisha na wakati mwingine anatumia hata dawa za kelevya kwa kumpa mwanamke, ili atimize hazma yake.
Akizungumza na Mdadisi Mambo Blog Anti Lulu alisema kwamba wakati akiwa kwenye mapenzi na Bond alishindwa kuvumilia ujinga wake na akalazimika kujiondokea kwa sababu si mwanaume mwenye maadili ya mapenzi.
"Huyo jamaa ni mbaya hafai hata kidogo mimi namwonea huruma sana Wastara maskini, asiposikilisha ushauri huu ataendelea kufanyishwa mapenzi sana kinyume na maumbele yake"alisema Anti Lulu na kuonge:;
"Minaona anampango wa kujichafualia sifa yake, najua watu wanaweza kusema kwamba nina mharibia, lakini ukweli ni kwamba jamaa nilimuacha kutokana na tabia hiyo, kitambo hivyo siwezi kuwa na wivu na Wastara, ila ninamshauri awe makini na huyo jamaa kwani ni nomaa sana mwanzo ukimuona utadhani kuwa ni mtu, lakini ukishaa kolea kwake utakoma, na kama anabisha asubiri kuona matokeo yake"alisema Anti Lulu kwa kujiamini.
Hata hivyo Wastara pamoja na jemba lake wamekuwa wakinukuliwa katika mitandao mbalimbali wakikana kuwa na mahusiano ya mapenzi, zaidi ya mahusiano ya kazi kwani hivi sasa wako katika hatua za mwisho za kuandaa filamu yao mpya, itakayojulikana kwa jina la 'Uaminifu Dhaifu' "sina mahusiano na Bond zaidi ya kikazi tu na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location, tukiandaa filamu yake inayoitwa Uaminifu Dhaifu, huo ndiyo ukweli, bora mume wangu angekuwepo haya yote yasingetokea"alisema Wastars.
Naye Bond kwa uapnde wake alisema kwamba Anti Lulu ni muongo sana,"Sio kweli ni picha za kazi tu ambazo hata wewe nilikutumia magazeti yanazigeuza, Lulu achana nae anatafuta kuandikwa, tulishachana kitambo wala hatuna mawasiliano"alisema Band.
"TANGU NIZALIWE SIJAWAHI KUWA NA SINA MAHUSIANO YOYOTE NA MR BOND"....WASTARA

Baada ya habari hizo kusambaa ilibidi blog yetu kuwatafuta mastaa hao wawili na wa kwanza kupatikana alikuwa ni Wastara na alikana kuwa katika penzi na Bond ila alisema wanafanya kazi pamoja kwani kwasasa wanashuti filamu mpya ya Bond inaitwa Uaminifu Dhaifu. Aliongeza kwa kusema kuwa Bond ni kama kaka yake. "sina mahusiano na Bond zaidi ya kikazi tu na zile picha zote ambazo unaziona ni wakati tupo location tukiandaa filamu yake inaitwa Uaminifu Dhaifu, huo ndiyo ukweli, bora mume wangu angekuwepo haya yote yasingetokea.
Baada ya hapo ilibidi kumgeukia Bond ambaye yupo location wakimalizia filamu hiyo na alipoelezewa hayo alisema hana uhusiano wa kimapenzi na Wastara na picha zinazodaiwa kuwa ni wapenzi ni za filamu mpya ambayo tuliweka hata hapa katika blog yetu, alisema kuwa huyo Anti Lulu anatafuta kuandikwa tu kwenye magazeti ndiyo maana anatoa habari hizo zisizo za kweli ili kujipatia umaarufu "Sio kweli ni picha za kazi tu ambazo hata wewe nilikutumia magazeti yanazigeuza, Lulu achana nae anatafuta kuandikwa, tulishachana kitambo wala hatuna mawasiliano.
Subscribe to:
Posts (Atom)