WASTARA NA TEAM YAKE "TEAM WASTARA" WAENDA KWENYE KABURI LA SAJUKI NA KUMUOMBEA DUA
Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki. Mzee Chiro akiwa na Wastara Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014. Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika. Wastara na Flora MvungiDua ikisomwa Picha kwa hisani ya Wastara