Search in This Blog

Showing posts with label VITUKO. Show all posts
Showing posts with label VITUKO. Show all posts

SOMA UCHEKE UJUMBE HUU WA FREEMASON BAADA YA JAMAA KUKOSEA KUTUMA HELA KWA M PESA

Jamaa mmoja si akakosea namba na akatuma Shs500,000/-kwa MPESA kwenda namba tofauti na aliyotaka? Hapo hapo akili ya haraka ikamjia akatuma SMS kwa hiyo namba kama ifuatayo. 

MPENDWA TUNATEGEMEA UMEPATA FEDHA ZETU. WEWE NI MMOJA ULIYEBAHATIKA KUUNGANISHWA KATIKA KUNDI LETU TUKUFU LA FREEMASON. ILI KUKAMILISHA MAKUBALIANO NDUGU YAKO WA KARIBU ATAFARIKI KATIKA MUDA WA MASAA MATATU BAADA YA KUPOKEA FEDHA HIZO. MARA HILO LITAKAPOTOKEA FIKA UPESI KWENYE NJIA PANDA YOYOTE ILIYOKARIBU NAWE, NA MTUMISHI WETU ATAKUFUATA NA GARI JEUSI NAWE UTAKUJA KUNYWA DAMU YA KIAPO ILI UWE MWANACHAMA KAMILI.
 
KARIBU KWA FURAHA KUU.........
Dakika moja na nusu baadaye meseji ikarudi kwa jamaa ikisema
“D5RYE289 Imethibitishwa Umepokea Tsh510,000 kutoka kwa ………………………… Tarehe 10/10/13 saa 8:12 AM

JIJAMAA LACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MACHANGUDOA, KISA HANA HELA YA KULIPIA URODA ALIOPATA


Tukio la fedheha limetokea kwa njemba mmoja hivi akichezea kichapo ‘hevi’ kutoka kwa wanawake waliosadikiwa kuwa machangudoa.

Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni majira ya asubuhi, maeneo ya Afrika Sana jijini Dar, jamaa huyo alidaiwa kuopoa changu ambaye alikwenda kumpa ‘mambo’ ya kiutu uzima kisha wakazinguana.
Mashuhuda wa tukio hilo ambao kwa sehemu kubwa walikuwa ni madada poa, walidai kuwa baada ya jamaa huyo kupewa huduma ya penzi jirani na eneo hilo aligoma kulipa hivyo timbwili zito likaibuka.

Ilidaiwa kuwa wakati jamaa huyo akitoka nduki, wanawake hao waliounda umoja wao walipiga kelele za mwizi na kusababisha wenzao waliokuwa jirani kufanikiwa kumdhibiti kisha kumpa kichapo huku wakimchania nguo na kuzua taharuki kubwa.
Pamoja na kufurukuta, jamaa huyo alishindwa kuhimili mangumi ya wanawake hao waliokuwa na hasira ya ajabu hadi akajikuta akitokwa na kijasho chembamba kabla ya kufanikiwa kuwakimbia.

Akizungumza na mdadisi mambo blog dada huyo aliyegoma kujitambulisha alisema kwamba jamaa huyo aligoma kutoa kiasi cha fedha walichokubaliana (aligoma kutaja) kabla ya kwenda kufanya mapenzi.
“Haiwezekani mtu tumekubaliana vizuri na amepata huduma safi, iweje agome kutoa mtonyo (fedha)? Hii ni kazi kama kazi nyingine kwa nini asiiheshimu? Anadhani mimi nitakula wapi wakati ajira zenyewe wanapeana wakubwa?” alihoji mwanamke huyo huku akiondoka eneo hilo baada ya kutulizwa mizuka na wenzake.


-GPL

KIGOGO WA CCM AANGUKA CHOONI KWA MGANGA WA KIENYEJI NA KUFARIKI PAPO HAPO HUKO KIMARA....MGANGA ATIWA MBARONI KWA MAHOJIANO..!!


MJUMBE wa Serikali ya Mtaa wa Michungwani, Kimara King’ong’o jijini Dar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni kiongozi wa umoja wa wazazi, Seleman Hashim Ndege amefariki dunia nyumbani kwa mganga wa kienyeji ‘Sangoma’, Veronica Kasumen ‘mama Misingo’ na kifo chake kuacha utata, Ijumaa lina habari kamili.
Akizungumza kwa uchungu mke wa marehemu, Mwajuma Ally amesema kuwa siku ya tukio (Jumamosi iliyopita) mume wake aliamka asubuhi saa 12 na kwenda kusambaza vipeperushi vya kazi zake za serikali ya mtaa.
Mwajuma alisema ilipotimu saa tisa alasiri, alifuatwa na mama Misingo na kumwambia kuwa mume wake amefariki dunia nyumbani kwake na kumtaka waende kuuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka Hospitali ya Tumbi, Kibaha.
Nilishtuka sana kwa kuwa mume wangu hakuwa akiumwa chochote, niliambatana na mama Misingo kwenda nyumbani kwake,” alisema Mwajuma kwa unyonge.
Mke huyo aliendelea kudai kwamba alipotoka nje alikutana na gari la  Kituo cha Polisi cha Mbezi Kwa Yusuf waliomwamuru kuingia ndani ya gari hilo aina ya Land Rover ‘Difenda’ huku wakimuuliza kama amemuona mume wake.
Kilichonishtua ndani ya gari kulikuwa na wanaume wengine wawili wakanionesha mwili wa mume wangu ukiwa tayari umeshavalisha sanda bila ya kunishirikisha,” aliendelea kusema Mwajuma...
 Mke huyo alisema kuwa alimhoji mama Misingo kilichotokea, naye akamwambia kuwa mumewe alifika kwake kwa lengo la kumuona mtoto wake ambaye alianguka na pikipiki lakini ghafla akaanguka na kuaga dunia mara baada ya kuomba kuingia msalani.
Tulienda mpaka Hospitali ya Tumbi ambapo mwili ulihifadhiwa kisha tukarudi nyumbani,” alimaliza mke wa marehemu huku akisema kuwa amebaki na utata juu ya kifo cha mumewe.
Naye Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Michungwani ambapo marehemu alikuwa akiishi, Fadhili Mzee Jakaya alisema alishtushwa na taarifa za kifo hicho na kuzifuatilia.
Mimi na wenzangu tulienda Kituo cha Polisi cha Mbezi lakini tulishangaa kukuta mganga huyo (mama Misingo) ameandikisha kuwa ni mkazi wa Kibamba na aliyefariki ni kaka yake aliyefika nyumbani kwake kumuona mpwa wake ndipo alipoanguka chooni, hicho kilitushangaza,” alisema.
Jakaya alisema kitendo cha mganga huyo kudanganya eneo analoishi na udugu wake na marehemu kiliwafanya waamini kuwa kulikuwa na kitu nyuma ya pazia.
 “Tunasikia Ndege alifariki saa tatu asubuhi, imekuwaje wamekaa naye hadi saa tisa jioni, haya kama si maajabu ni nini? Pia kwa nini wamvalishe sanda?  Hapa kuna sababu zitajulikana tu,” alisema Jakaya.
Wananchi wa Michungwani walijikusanya na kwenda nyumbani kwa mama Misingo na kumkuta akiwa na mumewe ambapo walimhoji kuhusu maelezo tata aliyoyatoa kituo cha polisi.
Hata hivyo, viongozi wa serikali ya mtaa walitoa taarifa polisi ambao walifika nyumbani kwa mganga huyo baada ya nusu saa na kuondoka naye.
Habari zilizopatikana kutoka kwa majirani zinadai Ndege alifika nyumbani kwa mama Misingo na kutibiwa kwa kupewa dawa lakini cha ajabu akafariki dunia.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King’ongo anapoishi mama Misingo, Demetrius Mapesi amesikitishwa na  kitendo hicho na kusema iwapo vipimo vitabaini kuwa dawa aliyokunywa marehemu ni sumu watachukua hatua kali.
Waandishi wetu walifika nyumbani kwa mama Misingo na kuzungumza na watoto wake, ambapo mmoja wao alisema kuwa, marehemu alifika nyumbani kwao saa tatu asubuhi kwa lengo la kumuona kaka yao aitwaye George ambaye alikuwa mgonjwa.
“Baada ya muda aliomba kwenda chooni na kukaa huko kwa muda mrefu, mama akamsikia akikoroma ndipo akaniambia nivunje mlango nimtoe.
Nilifanya hivyo, tulikuwa na mama na mzee mmoja (jina linahifadhiwa) tulijaribu kumvua nguo na kumwagia maji lakini alikuwa tayari ameshafariki dunia, mama akapiga simu kuwaita polisi,” alisema mtoto huyo.
Naye jirani mwingine wa mama Misingo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema hawakupewa taarifa za mtu kuanguka chooni na alipoliona gari la polisi limewabeba alihoji na kuambiwa kuwa hakukuwa na tatizo lolote.
Baada ya kufanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Tumbi, mwili wa marehemu uliagwa nyumbani kwake Kimara Michungwani kisha kusafirishwa kwenda Mtwara kwa ajili ya mazishi ambapo mtaani vilio vilitawala kila kona wakati wa kuuaga mwili.
Bado wakazi wa Kimara Michungwani wanasubiri taarifa ya daktari ili kujua kilichosababisha kifo cha Ndege.

WANAFUNZI WAAMUA KUVUA NGUO WAKIWA DARASANI

The lamentations of parents of this generation is simply that students have lost focus in every sphere of life. One major obvious screen to watch the decadence is the results they push out these days. What has taken over the minds of these young ones is simply the internet and the dirty displays they see on TV, and this has no doubt created such a picture as this. What is your take? 

PICHA ZA MTUHUMIWA ALIYEJINYEA MAHAKAMANI WAKATI AKISOMEWA HUKUMU JIJINI DAR.



KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati akisomewa shtaka lake la uzururaji.

Mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Richard Magodi alikuwa akimsomea shtaka hilo, mbele ya Hakimu Mfawidhi, William Mutaki na alipotakiwa kukiri au kukanusha kosa lake, mtuhumiwa huyo alibaki kimya akiwa amemtumbulia macho hakimu.

Katika hali isiyotarajiwa, mtuhumiwa huyo alionekana akijikamua kama anayejisaidia na ghafla, harufu kali ya kinyesi ikatanda mahakamani hapo.Hakimu alitahayari kufuatia tukio hilo, kwani aliziba pua yake kwa kutumia koti lake na kuuliza chanzo cha mtuhumiwa kufanya kitendo hicho kortini, lakini katika hali iliyoashiria kama ni kiburi, kijana huyo hakujibu chochote zaidi ya kutazama chini, licha ya swali hilo kurudiwa zaidi ya mara tatu.Kutokana na kosa hilo ambalo liliharibu na kusimamisha karibu shughuli zote za mahakama kwa muda, Hakimu Mutaki alimhukumu kijana huyo kwenda jela kwa muda wa miezi sita ili kuwa fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo.


Kana kwamba haitoshi, askari waliokuwepo mahakamani hapo walilazimika kumchapa bakora kijana huyo ili kumlazimisha kupiga deki baada ya eneo hilo kuchafuka vibaya kwa kinyesi kilichochanganyika na mkojo.

VIDEO:NDOA YASAMBARATIKA KANISANI MUDA MFUPI KABLA YA KUIDHINISHWA, KISA UMALAYA WA BWANA HARUSI..




 Hili  ni  tukio  la  kusikitisha, lakini  lenye  mafunzo  kibao  ndani  yake....

Tukio  hilo  lilitoke  mwanzoni  mwa  mwezi wa  nane  mwaka  huu ndani  ya  kanisa  la Pentekoste  la  nchini  Kenya  ambapo  wanandoa  wawili    walikuwa  wakila  kiapo  cha  maisha  mbele  ya  mchungaji  wa  kanisa hilo....


Dakika  chache  kabla  ya  wanandoa  hao  kuapishwa  na  kuruhusiwa  kuvishana  pete, Mchungaji  wa  kanisa  hilo   aliwauliza  waumini  kama  kuna  yeyote  mwenye  pingamizi  la  kufungwa  kwa  ndoa  ya  wapenzi  hao...

Baada  ya  swali  hilo, mwanamke  mmoja  alisimama  na  kuelekea  mbele  ya  kanisa  hilo  huku  akiwa  na  vyeti  mkononi....

Alipomkaribia  mchungaji, mwanamke  huyo  alipaaza sauti  yake  na  kusema  kuwa  ndoa  hiyo  haistahili  kufungwa  kwa  sababu  yeye  na  bwana  harusi  wanamtoto  waliyemzaa  pamoja  na  kwamba  walikuwa  na  mipango  ya  kuoana....

 

Kilichoendelea  baada  ya  hapo  ni  VITUKO.

VIDEO:FUNDI CHEREHANI AZUA BALAA LA MWAKA, ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUFUMANIWA NA MTEJA WAKE:

UFUSKA WA MANAIKI SANGA “THE DON” WAFANYIWA FILAMU, AWASHIRIKISHA WASICHANA WOTE ALIOPIGA NAO PICHA ZA UTUPU, WAMO MASTAA WA BONGO MUVIE,


  







Na Sakina Shabani
Katika hali ya kushtua msanii chipukizi Manaiki Sanga “The Don” aliyejipatia umaarufu mkubwa nchini na duniani baada ya picha zake za utupu akiwa na wanawake zaidi ya 400 wakiwemo wazungu akifanya nao ngono nzembe na baadae kusambaa kwenye mitandao yote duniani na kuonwa na mamilioni ya watu hasa wale wanaopata habari kupitia mitandao ya kijamii, sasa ameamua kutengenezea filamu halisi ya matukio hayo akiwa na wanawake walewale aliofanya nao ngono.

Xdeejayz baada ya kupata taarifa kuwa kuna filamu ya namna hiyo ilifanya juhudi za ziada hadi kufanikiwa kupata clip ya filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Farasi Entertainment yenye makao yake makuu Mwananyamala Jijini Dar ambapo Clip hiyo inawaonesha mastaa mbalimbali toka kiwanda cha bongo muvi wakiwa wameshirikishwa.

Habari zaidi toka kwa mtu wa karibu na Manaiki zilisema kuwa filamu hiyo iligharimu zaidi ya shilingi milioni 23 ambapo sehemu kubwa ya filamu hiyo ameifanyia Mkoani Arusha kwenye hotel moja ya kitalii huku gharama kubwa zikiwa zimetumika kuwalipa mastaa walioshirikishwa kwenye filamu hiyo aliyoipa jina la Ngema.

Mastaa walioshiriki kwenye  filamu hiyo ni Riyama Ally, Suleiman Barafu,Slim Omary, Neema Ndepanya, Prince Kas, Muhamed Fungafunga “Jengua” na mtoto mdogo aliyefahamika kwa jina la Ivan Fred huku ikiongozwa na Rashidi Ngayama “Pete”. Na wasanii wengine ni  Arapha Thabit, Sabrina Minja,Faiza Omary, Jackline Richard na Neema Reymer, Bless Zacharia.

Hata hivyo Xdeejayz ilipata baadhi ya majina ya warembo hao huku wengine hawakuweza kutambulika majina yao. Aidha filamu hiyo ambayo tayari inadaiwa imeshatua mezani kwa kampuni zinazohusika na uzambazaji nchini ambazo ni Steps,Sprash, Leo Media, Pilipili Entertainment na tayari imeonekana kukubarika na kuwavutia wadosi huenda siku si nyingi itapatikana mtaani.

Wadau mbalimbali wamesema filamu hiyo inayoitwa Ngema ambayo baadhi ya vipande vinafaa kutizamwa na watu wazima tu huenda itazidi kumpa umaarufu mkubwa msanii huyo kutokana na mashabiki wengi kuwa na hamu ya kutaka kuitizama na inategeme kuwa watu wengi wamekuwa wakisumbua vichwa vyao kutaka kujuwa kazi alizofanya Manaiki hadi kupelekea kujizolea umaarufu hapa mjini.

Aidha katika hatua nyingine kuna habari kuwa msanii huyo tangu picha zake kuvuja hasa picha yake inayomuonesha akijivinjari ya Bibi wa kizungu toka  Ujerumani kitandani huku akionekana kuwa na Muhogo wa Jang’ombe wa haja hali imekuwa mbaya kwake kwani mabinti mbalimbali wakiwemo wanawake za watu wamekuwa wakimpigia vikombo kumtafuta ili awepe burudani  hadi kupelekea kubadili namba ya simu yake kuepuka usumbufu.


HII NDIO VIDEO YA FILAMU YA UFUSKA YA MANAIKI SANGA "THE DON" AMBAYO AMEIITA  JINA LA "NGEMA" AMBAYO PIA INAPATIKANA KWENYE MTANDAO WA YOU  TUBE KWA JINA LA "UFUSKA WA MANAIKI SANGA"
Msanii Manaiki Sanga"the done" akiwa na mshiriki wa filamu Neema Reymer






Hatariiiiiiiiiii hii ndio filamu ya NGEMA 

































A
Mwanadada Asnati Msangi ambae ni msanii undergroud wa Bongo Muvie ambae kwa sasa yuko kwenye himaya ya The don Manaiki Sanga!

 
Msanii Manaiki Sanga"the done" akiwa na mtoto wa mke  nne wa Rais wa awamu ya kwanza Zanzibar Abed Karume aitwae Dida. ambae ni mshindi wa shindano la Bibi Bomba mwaka jana.

 
Bless Zacharia ambae ni 1 wa washiriki wa filamu hiyo


 Msanii Manaiki Sanga"the done" akiwa na mwanafunzi wa cho kimoja maarufu Jijini Dar siku


Hapa sin ikiwa imepamba moto mmh.......
Hapa wakifurahia kitu...... 
Annastazia na The Don Manaiki Sanga wakiwa kwenye picha ya pamoja! 

 
 
Msichana Annastazia Mungani "24" kama inavyoonekana akiwa mtupu nasijui picha hii iko kwenye Filamu ya Ngema ama laa! 

Kufuri la Irine Kanka ambae inadaiwa walipiga picha hizo baada ya kumaliza tendo la ndo na Manaiki Sanga kwenye Hotel ya msanii huyo iliyopo katikati ya mji Jijini Dar!
Msichana raia wa Uganda ambae anasoma chuo kimoja maarufu Jijini Dar akiwa mwenye hisia na haikufahamika kama walikuwa wanaigiza filamu au!!! 
Irine Kanka Miss Temeke ambae nae anadaiwa kucheza filamu hiyo, ambapo mrembo huyo na Manaiki sasa hivi wanaishi kama mke na mume maeneo ya Kinondoni Makaburini!






The done kama anavyoonekana na mrembo wakiigiza filamu hiyo, ambapo hata hivyo kwenye Clip ya video hiyo haioneshi ufuska.


 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger