Search in This Blog

Showing posts with label PICHA. Show all posts
Showing posts with label PICHA. Show all posts

AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA

 
jamani hii picha si ya kutengeneza.. ni ajari kweli ilitokea., ingawa huyu mwenzetu alipona,,

MUONEKANO WA BOTI ILIYONUSURIKA KUZAMA HAPO JANA






KWA HABARI ZAIDI FUNGUA HAPA

PICHA ZA MATUKIO JINSI MWILI WA MAREHEMU DK MGIMWA ULIVYOPOKELEWA MKOANI IRINGA



unnamed_4ec2a.jpg
Mwili wa marehemu ukishushwa katika uwanja wa ndege wa nduli iringa
unnamed1_3161e.jpg
Jeneza likifunikwa kwa bendera ya Taifa mara baada ya kushushwa katika ge
unnamed2_6f0ab.jpg
maofisa wakinyanyua jeneza tayari kwa ajili ya kupakiwa kwenye gari uwanjani hapo
unnamed3_7f1a6.jpg
Mwili wa marehemu ukipelekwa kwenye gari
unnamed4_24a6e.jpg
Madiwani wa mkoani iringa wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu
unnamed5_babac.jpg
Mwili wa marehemu ukiwa kwenye ukumbi wa siasa ni kilimo tayari kwa kuagwa na wakazi wa iringa
unnamed6_aee1b.jpg
Askofu Ngalalekumtwa akimuombea marehemu
unnamed7_9cc96.jpg
Waziri mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu
unnamed8_4eacb.jpg
Umati wa wananchi wa Iringa wakiwa na huzuni wakisubiri kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu
unnamed9_0ce99.jpg
Wananchi wa Iringa walijitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa marehemu
Picha na Mnyalu (P.T)

MWILI WA MAREHEMU DK. MGIMWA WASHUSHWA KWENYE NDEGE, ANGALIA HAPA

 
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchi hii leo kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue opamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.

TASWIRA YA JIJINI DAR KWENYE ADHA YA USAFIRI


 Wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa kwenye kituo cha basi cha Mbezi mwisho asubuhi hii kusubiria usafiri wa kwenda mjini Dar es salaam kwa shughuli mbalimbali. Hali kama hii utaikuta maeneo ya Mbagala, Gongo la Mboto, Temeke Mwisho na kwingineko katika muda huu. Jioni halihii huonekana Posta Mpya, Mnazi Mmoja na Msimbazi. Je, nini kifanyike kupunguza adha hii? Na hao ni abiria wa mabasi, bado wenye magari binafsi na usafiri mwingine, wote wakielekea katikati ya jiji.
 Kibaha Picha ya Ndege
 Nyomi ya Mbezi Mwisho
 Hapa ni Mbezi Mwisho asubuhi hii

ONA JINSI MAZISHI YA MWANAMKE ALIYEFARIKI KWENYE AJALI MBAYA MANZESE


Umati wa watu waliofika msibani hapo wakiubeba mwili kuupeleka garini.
Jeneza likiwa limeletwa tayari kusomewa dua.
Marehemu akiswaliwa tayari kwa safari yake ya mwisho.
 
Mwili ukiwa umewekwa garini tayari kwa kusafirishwa kupelekwa Ruvu kwa ajili ya mazishi.
Ajali mbaya na ya kusikitisha ilitokea Manzese jijini Dar es Salaam siku ya januari 2 saa sita mchana. Katika ajali hiyo, kijana ambaye alikuwa ni deiwaka alifariki dunia papo hapo pamoja na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mwanaharusi Shabani.Mazishi ya Mwanaharusi yatafanyika leo huko Ruvu.

ONA HAPA JINSI MWILI WA LIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA, WILLIAM MGIMWA ULIVYOWASILI JIJINI DAR


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, William Mgimwa umewasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa kabla ya mauti!

MCHEZAJI ACHUKUA MAZOEZI KWA AJILI YA MECHI YA MWAKA 2015

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger