Search in This Blog

Showing posts with label LAANA. Show all posts
Showing posts with label LAANA. Show all posts

MWANAFUNZI MWENYE MIAKA 6 ABAKWA NA MWALIMU PAMOJA NA MLINZI

Polisi Kusini mwa India wamesajili kesi ya ubakaji ambapo inaarifiwa mtoto wa shule mwenye umri wa miaka 6 alibakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu mjini Bangaloer.
Kisa hicho kinaarifiwa kutokea wiki mbili zilizopita. Mtoto huyo alibakwa na mlinzi pamoja na mwalimu, lakini kwa sababu ya kuwepo walinzi wengi katika shule hiyo, polisi bado wanachukua muda kuchunguza mlinzi aliyehusika.
Polisi wanasema kuwa mtoto huyo alibakwa tarehe mbili Julai , lakini wazazi wake waligundua hilo siku chache zilizopita baada ya mtoto huyo kulalamika kuumwa na tumbo na kupelekwa hospitalini.
Wakati huo mamia ya wazazi wameandamana nje ya shule wakivunja milango na kupiga mayowe kulaani tukio hilo.
Polisi tayari wamesajili kesi hiyo , lakini bado hawajamkamata mtu yeyote.
Mwandishi wa BBC Andrew North mjini Delhi anasema kuwa tukio hilo ni la hivi karibuni kugonga vichwa vya habari nchini India.
Waziri mkuu Narendra Modi, ameahidi kupambana vilivyo na visa vya ubakaji, na udhalilishaji wa kijinsia , lakini unyanyasaji wa wanawake bado ni tatizo kubwa sana nchini humo.
Huku taarifa ya kubakwa kwa mtoto huyo zikijitokeza tu, mamia ya wazazi walikusanyika nje ya shule hiyo na kutaka hatua kuchukuliwa dhidi ya wasimamizi wa shule.
Mnamo siku ya Alhamisi mwenyekiti wa shule Rustom Kerawala alizungumza na wazazi ambapo aliomba msamaha na kuahidi kushirikiana na polisi katika uchunguzi.

KIJANA REGANI KUTOKA FACEBOOK AKIJINADI KUWA NI SHOGA KUPITIA...TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

SHOGA AZUA UTATA FB Awasumbua baadhi ya washikaji wengi akiwataka kufanya nao kwich kwich wengi awa2mia picha zake za utupu jina la shoga mwenyewe hili hap
aaa Mchacho Regan Mchacho Regan


















AONESHA MAKALIO MBELE ZA WATU, HII NI BAADA YA KITYT ALICHOVAA KUCHANIKA...!

DUNIA IMEKWISHA JAMANI...WAKINA DADA HIZI NGUO MNAAZOVAA MUWE MWAJIFIKIRIA BEFORE...!

BATA BATANI..KULA UJANA 
LAKINI KUMBUKA
MICHEPUKO SIO DILI, BAKI NJIA KUU
UKIMWI UPO NA UNAUA!!

DAVIDO AMLA DENDA SHABIKI MBELE ZA WATU

Bila ubishi wanawake wengi wanatamani wangekuwa huyo msichana.....hahahahha Ulalaa! Anyway, vidume  sasa vipi huyu angekuwa ni demu wako ungemfanyaje?!

FUMANIZI: WANAFUNZI WA SEKONDARI WANASWA WAKIFANYA NGONO HADHARANI

WATOTO 11 kutoka familia tofauti wamekamatwa mjini Singida, wakidaiwa kufanya vitendo vya ngono kwenye nyumba moja usiku wa kuamkia juzi.
Kikundi cha ulinzi shirikishi jamii, ndicho kilikamata watoto hao, wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 12 na 16, wa kike na kiume, wakiwa ndani ya chumba kimoja.
Inadaiwa kundi hilo la watoto, limeacha shule na kukimbia kwa wazazi wao, kisha kujiingiza kwenye vitendo vya mapenzi katika umri mdogo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Mwenyekiti wa Mtaa wa Bima, Salum Sudi alisema alipokea taarifa kuhusu watoto hao kutoka kwa mwenye nyumba walikokutwa.
Kwa mujibu wa Sudi, mwanamke huyo mmiliki anaishi jirani na nyumba hiyo, ambayo hutumiwa na mmoja wa watoto wake wa kiume kulala.
Mwenyekiti wa Mtaa alimkariri mama huyo, akisema alishtuka kutoka usingizini, kutokana na kelele za watoto hao usiku wa manane na akaenda kuita kikundi cha ulinzi shirikishi baada ya kujionea vitendo vichafu, vilivyokuwa vinafanyika.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mtunduruni, Petronila Katundu walikopelekwa watoto hao kwa ajili ya mahojiano zaidi, alisema hana cha kufanya, zaidi ya kuwaachia polisi wawachukulie hatua wazazi na walezi wa watoto hao.
Hata hivyo, wazazi na ndugu waliokuwepo eneo la tukio, walisema baadhi ya watoto hao wameshindikana na wameacha shule, kisha kuamua kujihusisha na vitendo vya mapenzi katika umri mdogo.
Tukio hili la baadhi ya watoto kuacha shule na kujihusisha na vitendo vya ngono katika umri mdogo, limekuja huku takwimu za mkoa zikionesha kuwa zaidi ya watoto 20,000 wanaishi katika mazingira hatarishi mkoani Singida.

MAAJABU: WILLIUM MALECELA AMJIBU FLORA KWA KUVAA MACHUP* MAKUBWA YA WANAUME NA KUWEKA KWENYE MTANDANO

Mmiliki wa ya Blogu Ya Wananchi ama www.williammalecela.com Mh Willium Malecela leo kupitia website yake ameandika mazito kuhusiana na mjasiriamali anayefanya kazi zake nchini Uingereza Bi Flora lymo ameandika hivi kupitia website yakeMakelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume, 
I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii aubuhi kama hayakuwa majangaz ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha! ndio maana wengine tulienda majuu tukasoma shule masikini ya Mungu kibibi hiki kizee kimeenda majuu kujifunza kulilia kubakwa hata bila kubakwa, kuvaa machupi ya wanaume na kujiweka mitandaoni kwa sababu hakuna binadam mwenye akili timamu anaweza vaa yale machupi kinavaa, sasa naomba tukate mzizi wa fitina kiambieni kipige picha asubuhi kama mimi muone majangaz!! wewe kibibi rudi nyumbani ukalime maana hayo machupi hakuna wa kununua yanakufanana wewe wenyewe tu! ha! ha! ha! ha! majuu miaka 20 umeshindwa hata kwenda shule ya kufagia sasa unaishia kulea wazee na matahira le mburulazzzz kwenu wamekusahau huwezi kurudi, sasa utaishia kutukana matusi watu ambao hamfanani wenzako humu online tunatafuta pesa wewe unatafuta matusi na michupi mikubwa ya wanaume kimama kizee huzuni sana, U know jipime hapa mimi na wewe U know! ha! ha! ha!- Le Big Show
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger