Search in This Blog

Showing posts with label UWOYA. Show all posts
Showing posts with label UWOYA. Show all posts

UWOYA NA MASOGANGE WANAISHI PAMOJA SOUTH, JE KUNANII?


Hili ni swala la kujiuliza...ingawa hadi sasa Uwoya hajasema chochote...Lakini Masogange kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM amekuwa akiweka picha kadhaa za Irene Uwoya wakiwa pamoja huko SAUZI....Sasa katika kumaliza zaidi jana ameka video Irene akiwa anapika....HEHEHEHE

UWOYA SASA NDANI YA PENZI ZITO NA MSANII WA BONGO FLEVA, MIONE HAPA WAKIWA KWENYE PICHA ZA MAHABA

Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huu ana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa 
Bongo Movie Irene Uwoya
,
Gazeti La Makorokocho lilimtafuta Msami na kumuuliza ukweli juu ya Taarifa hizi lakini alichomoa, sikuishia hapo nikamtafuta Girl friend wake wa zamani au niseme ambaye wamegombana kutokana na Msami kuchepukia kwa Uwoya,
Girl Friend huyo anayeitwa Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana Wivu na Uwoya na anachofahamu Irene Uwoya eti alimlaghai Msami kwa kumwambia eti anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba

SINTA ATOA YAKE BAADA YA IRENE UWOYA KUAMBULIA MAKAVU LIVE HAPO JANA

Sintah amefunguka katika blog yake kuhusu mwanadada Irene Uwoya kubugi siku ya jana na kuweka Picha ya Vin Diesel akidhani ni Paul Walker. Soma hapo chini alichokisema


Van Diesel ambaye
Irene alifikiri ni Paul Walker
Let me a shame the devil, mara nyingi wanapokufa mastaa wa nje jamani ktk mitandao ya jamii tunakufa mbavu, sasa watu ndio kujifanya wanamjua sana watasononeka kiasi kwamba utafikiri ni ndugu wa damu,.
sasa afe star wa kwetu mmmmh hauoni hilo vumbi kama la nje jamani tujaribu kupenda na kuthamini vya kwetu vikiwa hai na vikitutoka sio kujishauwasti tujuwesti na wewesti unamjuasti paul walkerst kumbest nop
poor Irene amaejikuta akizodolewa, kwa kuchapia sasa sijui alitaka  aonekane anawajua  Hollywood celebrities  very well akajikuta anakosea baada ya kuweka pic ya Van Diesel na si ya Paul Walker aliefariki na kusisitiza bwana ametoa na bwana ametwaa..
 calm down, don't try so hard to fit in the cycle...... kama ni no ni NO tu...
I do the seeking n you do the judging

"KAMA HUNIPENDI U BETTER F**K OFF!" UWOYA

Hapo jana mwanadada Irene uwoya aligeuka mada ya mtandao mmoja maarufu wa kijamii baada ya kuweka picha ya mwigizaji wa marekani Vin Diesel ikiwa na maneno ya “R.I.P – Bwana ametoa na bwana ametwaa” kwa jamaa huyo kuwa amefariki kitu ambacho sio kweli na ndipo mashabiki walipoanza kumshambulia mwanadada huyo kuwa awe anafanya research na sio kupost vitu ambavyo havielewi il mradi amepost.


Chanzo nini?

Hivi majuzi wapenzi wa filamu walipata na msiba wa mwigizaji wa maarufu wa filamu ya fast and furious Paul Walker aliyefariki kwa ajali ya gari huko nchini marekani. Mwigizaji huyu alikuwa karibu sana na mwigizaji Vin Diesel ambaye aIrene uwoya aliweka picha yake kuwa amekufa na ndipo mashabiki walipomvaa kuwa aliyekufa ni Paul hivyo atumie google kufanya uchunguzi na sio kuandika mambo amabyo hayajui kama tunavyomnukuu shabiki mmoja akimchana live Irene
Clarah: JAMAN IMENBIDI NIPOST HII KITU COZ NLISHTUKA KWANZA LOH !! @ireanuwoyaonepiceintown (Jina analotumia irene kwenye mtandao huo wa kijamii)  HUYU KAKA ANAITWA VAN DIESEL NI ACTOR MKUBWA TU .HAJAFA JAMAN MAANA UMENISHTUSHA KUMPOST NA KUMWISH BWANA AMETOA NA BWANA KATWAA .JAMAN KUNA GOOGLE IMERAHISISHA MAMBO YOTE UNGEGOOGLE JINA LA PAUL WALKER SIDHAN KAMA UNGEKOSA.JAMAN TUWE MAKINI NA HIZI TAARIFA MAANA WENGNE TUNAPRESSURE.ILIBIDI NIANGALIE NEWS YOUTUBE KAMA KWELI HUYU KAFA NA KAFAJE KUMBE MWENZETU PICHA GONGANA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"""""""!!!!!!!!! @vandiesel MAY GOD GIVE U LONG YEARS TO LIVE MAANA KUNA MASNURA HUMU

Irene ajibu

Baada ya comment za mashabiki hao kuwa nyingi ndipo Irene alioamua kuitoa picha hiyo na baadaye kuwapa makavu wote waliomponda kwa kuandika ujumbe huu…
Irene uwoya: Hiii msg nikwawale wapumbavu wanao andika ujinga ili wanikwaze....maana kuna mijitu haijui nimeandika vile coz yule nimtu wake wakaribu na ninampenda ndomana nime post....ila ile mijitu isio na akili inavamia tuuu....kwanza kama unaona unipend na unikubali u better f#k off...sihitaji mijitu miswahili humu...nataka watu wenye upeo na adabu....nadhan mnajijua na mme nisoma....mi siogop mtuuu....nakama itakuuma kunywa sumu ufe

Mashabiki wagoma kumuelewa, wazidi kumpa makavu zaidi

ROGER: Kubali tu ulikosea mama yaishe.... maana mi naweza nikakuambia Irene R.I.P... kisa Kanumba Kafa... kuwa mtu wa Karibu haimaanishi ndo umwambie yeye arest in peace na kuweka picha yake kabisa

Levyl: Sasa kwann kaitoa c angeaacha kama yuko ryte

MrslucaS: Umebugi kubali tuu pyeee

Dorryjacob:  Swry hakuna anayekuchukia tatizo ulikosea na binadamu hukose..ww ulipost hyo pic ukijua ni paul kumbe ni vian so mbona rahic tu, ungesema umekose tatizo hutaki kushindwa kumbe kuna watu pia humu pamoja kwamba si masuper star bt nao ni vichwa hawakubali mbona ni simple like dat..na ndio maana umeitoa hyo pic maana na ww umejua umekose! Na pia anamafans zake wanaompenda so hawafurah ulivyomtabiria kifo..pole mummy kama umekwazika

IRENE UWOYA HAJAATHIRIKA NA UKIMWI, SOMA MAJIBU YA VIPIMO VYAKE

Irene Uwoya ambaye ni msanii wa Filamu za kuigiza nchini ameweka cheti kinachoonyesha kuwa yeye ni safi na salama kiafya. Kwani cheti hicho kinaonyesha yeye si muathirika wa ugonjwa wa Ukimwa. Kiangalie Cheti chenyewe hapa Picha ya cheti hicho ametupia katika account yake ya instagram, na mwisho aliwashauri wafanye kama alivyofanya yeye, yaani kwenda kupima Ukimwi aka ngoma .

IRENE UWOYA ATOA MATUSI MTANDAONI

“...Wale ma-(Tusi linalohusisha kiungo cha mwili) wanao post (Tusi kama la hapo mwanzo) humu...waaandike watakavyo...sio (Tusi- vitendo vibaya kwenye jamii) tuuu yan na vza yakuzunguka dunia nzima....siitaj watu ma-(Tusi kali sana)...kama na kuboa kafe mbele....eti range nimehongwa mtasubiri sanaaaa....sina mdaa huo sinaaa...wakukaa pemben na kumsmanga mtuuuu...wote mnao ni disss ma-(Tusi la kumalizia sentensi)...
Hayo ni maneno ya mwadada Irene Uwoya aliyoaandika usiku wa leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii. Tulipoyasoma tuu, tulishtushwa sana kwani si kawaida kwa mwanadada huyu kuandika maneno mzito kama haya na ndipo tulipoamua kufanya utafiti yakinifu ili tujue why??? Na haya ndo majibu ya uchunguzi wetu huu…
Tujikumbushe Historia fupi
Hivi majuzi mwadada Irene Uwoya alipost kwenye mtandao picha za gari yake mpya aina ya Range Rover na ndipo watu wengi walianza ku-comment na “kumponda” mwanadada huyu kuwa sio yake bali kahongwa na wanaume “wanaomuweka mjini”
Irene akajibu
Siku si nyingi baadae Irene aliwajibu kwa kusema kuwa gari hiyo ni yake na wote wanaosema kahongwa watasubiri sana maana hiyo ni matokeo ya jasho lake
Msiba wa baba yake wema wahusishwa
Kwa bahati mbaya mwanadada Wema Sepetu alipata matatizo ya kufiwa na baba yakehivi majuzi na ndipo zikatoka tetesi kuwa ETI mwanadada Irene pamoja na kundi jingine la mastaa Fulani wamesusa kuhudhuria msiba huo kwa madai kuwa Wema huwa hashiriki misiba ya wengine
Mashabiki wa wema wamjia juu
Baada ya mambo hayo yote hapo juu ndipo kundi la mashabiki wa wema walipoanza kuandika kwenye ukurasa wa mwanadada huyo, wakimutukana na kumponda sana eti hilo gari sio lake bali kahongwa na jamaa mmoja hivi (Jina tunalihifadhi kwa sababu za kiusalama) na hivyo asiwadanganye wananchi mambo ambayo si kweli
Uvumilivu ukawa mchache kwa Irene
Baada ya matusi na maneno mengi ya kejeli toka kwa mashabiki hao kumzidi Irene hatimaye ndio ameamua kuandika hayo hapo unayoyaona juu. Daah, hatari sana mjini hapa ukiwa staa.
-Bongomovies.com

ANGALIA IRENE UWOYA ALIVYOBUGI BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA LOCATION IKIMUONESHA JAMBAZI KAVUA VIATU NA KUMVAMIA.

Irene Uwoya amepost picha hii kwenye Instagram inayomuoesha akiwa location. Katika picha hiyo Irene anaonekana akipiga kelele baada ya kuvamiwa na jambazi aliyekuwa amejifunika usoni. Tatizo ni moja tu kwenye picha hii: Jambazi amevua viatu… 3c650f52319611e3a98422000aa80fc9_7 Huenda alikuwa anaogopa kuchafua nyumba ya Irene na kuamua kuvua vitu nje kabla ya kuingia ndani ama aliyewapa nyumba kushoot movie hiyo aliwapa sharti la kuvutia viatu? Huwezi kujua. Mashabiki hawajamuacha Irene, hivyo ndivyo walivyomshambulia. [ @ ] dazfacebaby @milazo3 hahaaaa et jambaz kavua via2 uwez jua ilkuaje lkn mh!!! [ @ ] aishery Nyie wasanii kwa uwongo si ulijiandika umeacha movie sasa unawaacha watoto hii sasa ni cinema [ @ ] lute_reuben Jambazi mstaarabu,kama ameweza kuvua viatu basi kukushoot haiwezekani [ @ ] joyceabdallah86 Mi sijawai ona jambazi mwenye kupoteza mda mpaka viatu avue,ni bora asingezib uso ili tujue kwamba huyu alienda kistaarabu akachenji pale pale,lkn hii mh ngoja tutaiona [ @ ] dgisunte Mh!huyu jambaz kavua viatu!ni msafi sana inaonekana kwake hadi nguo anavulia nje. [ @ ] zakia_nassor Hata mie sijamuelewa huyo jambazi kwakwel hapo mmechemsha [ @ ] jimmieikwe ha ha tatzo muvie za bongo hazina uhalisia madirector hawako makini yan Jambaz/ninja kavua viatu LoL kaficha uso kaachia miguu teh teh teh [ @ ] jimmieikwe jambaz hataki akitraciwa asipatikane kila #kaficha uso na Mask #gloves mikonon kufcha fingerprints lakin #KAVUA VIATU MPAKA SOX awachie #toeprint LMFAOOOOO!!! [ @ ] wahidamunisi Jambazi kavua viatu tena mmmmh mstaarabu sana. [ @ ] galinde Jambazi kaona atachafua nyumba Hahahahaha lol 3min

MASHABIKI WAMTUKANA UWOYA MARA BAADA YA KUONYESHA PICHA YA MWANAE AKIWA AMESHIKA POMBE


Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake huyo.

 

Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata na marafiki zao wa huko.
Watu hao walimwambia Uwoya kuwa siyo malezi mazuri hata kama ameshika au kunywa kabisa anatakiwa kuwa mama wa mfano kwa tabia njema kwa mtoto.
…cio malezi ata kama ameshika au kunjwa kabisa. b a good mother….Huku mwingine akicomment ….Ayaaa atapombeka huyo…
 

dayanachuwa crish hapan shika hiyo mbaya sana.ntakusemea kwa anko babu 1d
• chiispice Acha kushika hiyoo dudu @totoo zuyi crish...
• bawilid hell no

UWOYA AENDELEA KUMSHUTUMU SHIGONGO KWA KUMCHAFUA, AAHIDI KUWEKA HADHARANI SABABU ZA KUMCHUKIA NA USHAHIDI

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya ameendelea kumshutumu mkurugenzi wa Global Publishers Erick Shigongo kwa kumchafua na kuahidi siku moja kuongea na kuweka wazi na ushahidi kila kitu kati yake na Shigongo.
UWOYA2
Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:
“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua….ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia…na ntaweka kila kitu waz….den wenye akili watajua naongea nin…simuogop atakama atanichafua kiasi gan…hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe…I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke……mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him….eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie. “
Uwoya Instagram
Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la Risasi linalomilikiwa na Global Publishers katika ukurasa wake wa mbele Jumamosi iliyopita kuandika habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU’, na baadaye Irene alipost Instagram picha ya gazeti hilo na kuandika:
uwoya gazeti
“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali”

UJUMBE MZITO KUTOKA KWA IRENE UWOYA KWENDA KWA JOHARI

Katika pita pita zetu leo hii tuliweza kupata ujumbe mmoja mzito na wa kutia moyo toka kwa mwanadada Irene Uwoya aliomwandikia mkongwe wa bongo movies nchini kwa upande wa kinadada Blandina Chagula maarufu kama Johari wiki chache zilizopita. Ujumbe huu wa Irene ni ujumbe wa kutia moyo na unaweza kuwa kama “Motivation message” kwa wadada wengi hapa mjini ili badala ya kukaa na kuwaza kupata mali au mafanikio kwa njia za mkato au zisizo halali basi wafanye kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi. Tukinukuu ujumbe huo Irene kwa Johari aliandika…. “Wewe nimwanamke wapekee...mchapakaz sana...atawaongeee vp kaza moyo...one thng u hav to know if God say yes no body I mean no body can say no...so don gv r f*ck Hii inawahusu wadada wote jamani. Nyie ni wanawake wapekee, wachapakazi, kazeni moyo. If God say yes, nobody can say no (Mungu akisema ndio hakuna awezaye kusema hapana)

LUIZA MBUTU AFUNGUKA JUU YA SKENDO YA DIAMOND KUNASWA AKILA URODA NA IRENE UWOYA.

Kiongozi  na mwimbaji mkongwe  wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha  kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za kimapenzi na kuamua kuwafunda ka kuwapa somo kali.Akizungumza na mwandishi wetu kwenye  hivi karibuni luiza alidai kwamba wasanii wa fani zote ni kioo cha jamii hivyo kitendo cha baadhi ya wasanii kujihusisha na mambo yasio kubalika kwenye jamii wakati wao ni kioo cha jamii  ni sawa na kuipotosha jamii hiyo inayowatazama.

 mfano lshu ya Diamond na Uwoya kunaswa hotelini na mapaparazi jamii inayowatazama inawasomaje kimaisha wakati sisi wasanii ni kioo cha jamii siku hizi watu wako bize na na maisha na sio mambo hayo ya kitoto kwani dunia ya sasa magonjwa ni mengi hivyo kitendo cha kubadilisha wapenzi kila kukicha ni hatari pia kwa afya yako mimi natoa soma kwa wasanii wenzangu tujiheshimu ili tuheshimike"alisema Mbutu kwa hisia kali.huku akiongeza kusema
" Nashukuru kwa upande wetu wa sanii wa muziki wa dani sekendo hizo za ngono sio kubwa kama ilivyo kwa wenzetu wa bongofleva na bongomovie"alisema luiza ambaye kiukweli licha ya kuwepo kwenye fani hiyo ya muziki wa danisi kwa muda mrefu hajaingia kwenye skendo yoyote mbaya pia Ruiza ni miongoni mwa wanamuziki wachache wasio na tamaa ya kuhama hama bendi kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii wengine jambo lililopeleka kudumu kwenye cheo chake cha  ukiranja mkuu wa bendi hiyo kwa muda mrefu sasa.

Siku za hivi karibuni msanii kiwango cha juu kwa sasa Afrika Mashariki na kati Nasibu Abdul'Diamond Platnumz' alinaswa hotel usiku wa manane na mapaparazi wa kampuni wa Global Publishers akiwa na mwigizaji nyota wa filam za kibongo lrene Uwoya ambaye ni mke wa mtu wakila raha ndani ya hotel hiyo iliyopo kando kando ya ufukwe wa bahari ya hindi jijini Dar es salaam.

IRENE UWOYA ALIA NA ULIMBUKENI WA PENZI LA MSANII DIAMOND

 Kufuatia kuripotiwa kwa habari   iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada  Irene Uwoya  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kueleza  dukuduku lake la moyoni....

Habari  hiyo  ililipotiwa  jana  na  magazeti ya udaku  ikisimulia  jinsi  Diamond  na  Uwoya  walivyonasana  na  hatimaye  kuvunja  amri  ya  sita....

Katika  habari  hiyo, msemaji  ni  Diamond  na  wapambe wake  ambao  wanasimulia  jinsi  walivyomnasa  Uwoya  na  kumfanya  akubali  kuvua  nguo....

Baada  ya  habari  hiyo  kutoka, Uwoya  alishindwa  kuyaamini  macho  yake  na  hii  ndo  kauli  yake  aliyoitoa:


“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamini mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwazi  watu wanakuchukulia vbaya? 

"Leo( jana)  nimeumia sanaaa kuliko sikuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...

"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better”...Uwoya
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger