ANGALIA IRENE UWOYA ALIVYOBUGI BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA LOCATION IKIMUONESHA JAMBAZI KAVUA VIATU NA KUMVAMIA.
Irene Uwoya amepost picha hii kwenye Instagram inayomuoesha akiwa
location. Katika picha hiyo Irene anaonekana akipiga kelele baada ya
kuvamiwa na jambazi aliyekuwa amejifunika usoni. Tatizo ni moja tu
kwenye picha hii: Jambazi amevua viatu…
Huenda alikuwa anaogopa kuchafua nyumba ya Irene na kuamua kuvua vitu
nje kabla ya kuingia ndani ama aliyewapa nyumba kushoot movie hiyo
aliwapa sharti la kuvutia viatu? Huwezi kujua.
Mashabiki hawajamuacha Irene, hivyo ndivyo walivyomshambulia.
[ @ ] dazfacebaby @milazo3 hahaaaa et jambaz kavua via2 uwez jua ilkuaje lkn mh!!!
[ @ ] aishery Nyie wasanii kwa uwongo si ulijiandika umeacha movie sasa unawaacha watoto hii sasa ni cinema
[ @ ] lute_reuben Jambazi mstaarabu,kama ameweza kuvua viatu basi kukushoot haiwezekani
[ @ ] joyceabdallah86 Mi sijawai ona jambazi mwenye kupoteza mda
mpaka viatu avue,ni bora asingezib uso ili tujue kwamba huyu alienda
kistaarabu akachenji pale pale,lkn hii mh ngoja tutaiona
[ @ ] dgisunte Mh!huyu jambaz kavua viatu!ni msafi sana inaonekana kwake hadi nguo anavulia nje.
[ @ ] zakia_nassor Hata mie sijamuelewa huyo jambazi kwakwel hapo mmechemsha
[ @ ] jimmieikwe ha ha tatzo muvie za bongo hazina uhalisia
madirector hawako makini yan Jambaz/ninja kavua viatu LoL kaficha uso
kaachia miguu teh teh teh
[ @ ] jimmieikwe jambaz hataki akitraciwa asipatikane kila
#kaficha uso na Mask #gloves mikonon kufcha fingerprints lakin #KAVUA
VIATU MPAKA SOX awachie #toeprint LMFAOOOOO!!!
[ @ ] wahidamunisi Jambazi kavua viatu tena mmmmh mstaarabu sana.
[ @ ] galinde Jambazi kaona atachafua nyumba Hahahahaha lol 3min