Search in This Blog

Showing posts with label NISHA. Show all posts
Showing posts with label NISHA. Show all posts

NISHA ANAUMWA KWA SABABU YA KUTOA MIMBA (ABORTION), SOMA HAPA

Nisha alipokuwa anaumwa
MSANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.

Gazeti la Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye yupo ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha aliugua gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa..

NISHA AJIFANYA NI MDOGO KATIKA GAME KATI YAKE NA ADAMU JUMA WA NEXT LEVEL, ADAMU JUMA NAYE AMJIBU

Baada ya Mtayarishaji wa Video Anaye kuja juu kwa Kasi kipindi hichi Nisha Kupost Picha hiyo hapo na maneno ambayo inaonekana ni dogo kwa Next level kampuni anayomilikiwa na Adamu Juma...
Adamu Aliandika maneno haya hapa chini Baada ya Dongo Hilo...


UKURASA WA FACEBOOK WA NISHA WAVAMIWA NA MAHACKER NA KUWEKA PICHA ZA NGONO.

Mwanadada Salma Jabu ‘Nisha’ anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo amekubwa na balaa baada ya ukurasa wake wa Facebook kuingiliwa na watu ambao wanautumia vibaya kwa kuweka picha za ngono na picha ambazo hazina maadili, tukio hilo limemfanya msanii huyo kuwa katika wakati mgumu baada ya kupigiwa simu na jamaa zake. 

“Jamani kuna watu wana majaribu sana wameingia katika page yangu ya facebook na wanatuma picha za ajabu ajabu ambazo kwa mtu ninayejiheshimu kama mimi siwezi kuweka picha hizo kwani nina wapenzi wengi wanaohitaji kuchati na mimi kwa kazi zangu,”alisema Nisha.
































Nisha anawalaumu watu ambao wameingia na kuchukua password yake na kuposti picha mbaya kwa nia ya kumharibia ukurasa wake ambao yeye utumia kwa ajili ya kuwasiliana na wapenzi wa filamu ambao wamekuwa wakipata taarifa zake kupitia ukurasa huo,

Msanii huyo anaomba watu wanaohusika na udhibiti wa mitandao ya kijamii kutafuta njia ya kuwakamata watu ambao wanatumia teknorojia vibaya kwa kuwaharibia wengine, baadhi ya wasanii wamekuwa wakikumbana adha mbalimbali kama matumizi mabaya ya picha zao na hata majina yao, pia kwa kurasa ambazo haziwahusu.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger