Irene Uwoya ambaye ni msanii wa Filamu za kuigiza nchini ameweka cheti kinachoonyesha kuwa yeye ni safi na salama kiafya. Kwani cheti hicho kinaonyesha yeye si muathirika wa ugonjwa wa Ukimwa. Kiangalie Cheti chenyewe hapa Picha ya cheti hicho ametupia katika account yake ya instagram, na mwisho aliwashauri wafanye kama alivyofanya yeye, yaani kwenda kupima Ukimwi aka ngoma .