Nilikuwa naperuz na kudadis mtandaonii,
nikatutana na huyu kaka anaitwa Manaiki Sanga..! eti ni msanii na
mwanamuziki sijui! nways..
Ametiwa mbaroni kwa kosa la kupiga picha
chafu ZAIDI YA 400 na picha zake kuvuja!khaaa!nimejisikia vibaya kuona
mmoja wa mdogo wangu kishuleshule wa primary kapozi kajibinua hana
habari! na kalikuwa kapoleee..heshima tele kwa dada zake!kanashape na ni
kazuri ila kamekomazwa na maisha ya ngono(ukiwa mfanyaji sana ujue esp
mdada unachoka!haunawiri! lol) tuache hayo..
KWANINI MTU UJIWEKE CHEAP KIHIVYO? WHY?MKAKA MWENYEWE KIMEO...MVUTO 0!hatakama ni kitandani hiyo sio sababu ya kujidhalilisha!
Hata kama ni
kitandani..come on babes...why
msimalizane bila picha jamani! at the end unaolewa na mwingine! Ona sasa
at the end anaonekana kidume we unaonekana malaya tuu!
na huyu kaka hivi ndo kusema ibilisi hajakuachia hata akili moja ya utu?
Nadhani hii habari ya muda mtanisamehe,me nmeiona leo.
Kwanini upige picha uchi?tena na
Boyfriend sijuw girlfried! why?kama mmeshindwa mapepo yenu yanakazania
mpige...ok do it then BUT dont show ur face for crying out loud..just
show ur ugly